Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakumbuka sana, kulikua hakuna watu arrogant kama wakenya towards Tanzania, walishabemendwa sana na wanasiasa wenzao kuhusu Tanzania

Kuna mkenya aliniambia kabla ya social media kumpa ukweli kuhusu Tanzania alikua anachukulia Tanzania kama Burundi hivi au Congo nchi fulani ya kiporipori mno, 😂😂😂

anasema alikua anajua hamna mtanzania yeyote anaweza kutengeneza sentence 2 za kiingereza 😅😅😅

Hakuna watanzania nchi za nje 😄
Dah yaani hakuamini namna tulivyo kimya lakini tuna maisha mazuri kuwazidi,

Leo mambo yamebadilika social media zimewafungua akili japo wengi wao hizo akili hawana, naona saa hivi wanapeana vitasa wenyewe na Tanzania ndio wanaitumia kuchapana 😅😅😅


 
Unalazimisha uongo ili iweje? 😂 😂 😂 Kisha wanasiasa wa KE hawana mda wa kuzungumzia Tz, sio wambea ka nyie ujue.
 
You are the one who don't. I have been at Ikeja to Muktala Mohammed airports.

Generators are everywhere in Nigeria.
where in lagos did you stay? and do you have pictorial evidence of the period you spent in Nigeria?
 



MY TAKE
Inakaa kuna kitu hakijakaa sawa wizara ya Kilimo, wiki iliyopita Bashe alikuwa analalamika kuhusu tozo la dengu Shinyanga leo Waziri analalamika kuhusu uingizaji sukari! Inakaa middle men wamerudi na mama kama anasita kutoa msimamo na kuwapa support kusimamia sheria! Hii haileti picha nzuri kuacha wasimamizi wa wizara yako wakilalamika dhidi ya lobbying na influence ya middle men! Inakaa hii Wizara Waziri na Naibu Waziri hawatadumu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]🦧🦧🦧🦧🦧🦧🦧🦧🦧[emoji204][emoji204][emoji204][emoji204][emoji204]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…