Private procurement regulatory authority ameshaonesha quarrel kwenye unprecedented single sourcing ambapo ni kinyume cha procurement acthaya hayatawezekana.. Yapi Merkez hawawez kuharibu kwenye standard.. ishu kubwa ni hio single tenda.. hatujui ni wameoverprice kiasi gan kama walichofanyiwa wenzetu na mchina.. ila standard za Yapi ziko [emoji91]
Though utaratibu kusimamiwa ni muhimu esp. competitive bidding to prevent Yapi Merkezi from overcharging us, still siamini kama hiyo ndo sababu tu ya Dr Chamuriho kutolewa pale kuna miradi mingi inasuasua! Ile kazi imemshinda! Kuna umuhimu ya watu wa kule wakapunguzwa influence pia kuondoa kinachoonekana sasa yaani ku-hold GoT at ransom!Private procurement regulatory authority ameshaonesha quarrel kwenye unprecedented single sourcing ambapo ni kinyume cha procurement act
Kufukuza waziri anaesimamia utaratibu wa kisheria ni for any sense goodwill? Maybe!
KivipiHuu ni moja ya miradi ulimtoa Dr Chamuhiro ukiachia mradi wa Msalato airport na ringroad Dodoma! TANROAD inapwelea sana sasa!
Ndio kilichomuondoa waziri?
Halafu Mbona Majaliwa alikua anaipigia chapuo sana Yapi kiasi kwamba kila akitembelea site (nafikiri hakuna kiongozi alie tembelea sgr mara nyingi kama yeye) alikua akisema lazima vipande vinavyobaki Yapi wapewe
Ilikua inanishangaza sana sababu utaratibu wa kutoa tenda unajulikana ni wa ushindani lakini majaliwa alikua anarudiarudia nimemkariri zaidi ya mara 4 akisema hivyo!
Anyways hii nchi saivi wala sina shughuli nayo iende iendavyo!
Former TPA chief ndio alie double mapato ya TPA and twas for the first time in history,Wewe acha ubaguzi! Kumbuka Prof. Mbarawa ndiye alisaini mikataba mingi ya Wizara kabla ya kutolewa pale! Na kama alifanya madudu mbona hayajesemwa, kwangu mimi speed yake haijafikiwa na yeyote aliyekuja baada yake! Kosa la JPM ni kupanga watu wake wa kanda pale na kujiona wao tu ndo wanaweza na kuanza ukiritimba! Kuanzia CEO wa TPA mpaka watendaji wengine wa TANROADS walipangwa jamaa wa kule na kukaanza ulaji, kumbuka mradi wa Ring road Dodoma umesainiwa zaidi ya mwaka na fedha zilitolewa na AfDB na mkandarasi kupatikana ila mpaka sasa haujaanza! haikubaliki!
Huyohuyo Kalemani kashindwa kurudisha negotiations za LNG Lindi na alipewa miezi sita! Mama ana haki ya kuweka mtu anayemtii pia kama JPM alivyopangua na kuweka wanaomtii tena wa kanda yake! Tuache kuhukumu na kudhani wale wa JPM ndo wanafaa tu! Nyie watu wa kanda msitufanye sisi wapumbavu kutetea ulaji wenu hii nchi yetu soote, waacha anyoroshe.....!!Former TPA chief ndio alie double mapato ya TPA and twas for the first time in history,
Kalemani ndio aliefanya tanesco for the first time in history isipokee ruzuku serikalini na kutengeneza hasara ya 400 billion annually na imeweza kujiendesha yenyewe na kutengeneza faida for the first time!
Inferiority kills!
Nilikuwa huko weekend hii kupumzika. Wengi sana weekend wanakwenda MoroUkitaka kujua Moro pako busy nenda kuanzia ijumaa hotel, lodge kama ujafanya booking mapema unaweza kosa pa kulala. Nadhani kuna watu wanaendaga kupumzika wikiend moro
CBD yao inachapwa na Victoria [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good morning from Nairobi[emoji559]
View attachment 1936978View attachment 1936984View attachment 1936985
kabsaa tena ule mradi wa metro rail ukija watajijua hawajui!CBD yao inachapwa na Victoria [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1937115View attachment 1937117
Acha kulinganisha Nairobi na takataka zenye hata hazina tarmacked roads.CBD yao inachapwa na Victoria [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1937115View attachment 1937117
wake za watu wanasasanduliwa sana hapo Moro!Nilikuwa huko weekend hii kupumzika. Wengi sana weekend wanakwenda Moro
View attachment 1937114View attachment 1937116
Former TPA chief ndio alie double mapato ya TPA and twas for the first time in history,
Kalemani ndio aliefanya tanesco for the first time in history isipokee ruzuku serikalini na kutengeneza hasara ya 400 billion annually na imeweza kujiendesha yenyewe na kutengeneza faida for the first time!
Inferiority kills!
Wacha picha zijieleze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kulinganisha Nairobi na takataka zenye hata hazina tarmacked roads.
Do you know the meaning of investors...sio nyie jua kali wa apo kwa nyumba za suti kiberaNchi inayo jitambua ukanda huu.., we will rule Africa!
Uganda offers free land and tax incentives to Kenyan investors
NEWS
By Joackim Bwana | September 13th 2021
Mombasa Governor Ali Hassan Joho (left), Ugandan Agriculture Minister Bright Rwamirama (centre), and CS Industrialisation Betty Maina (second right) open a two-day Kenya-Uganda agri-business symposium in Mombasa. [Omondi Onyango, Standard]
Ugandan government officials have promised free land and tax incentives to Kenyan investors who want to set up processing industries in the land-locked country.
Ugandan Agriculture State Minister Bright Rwamirama said the country has large tracks of land and farm produce, noting that investors only need to set up industries to process and do value-addition on the farm produce.
Mr Rwamirama said Uganda requires 20 tea processing plants to cover the surplus tea and package it for the international market. He reckons that the business climate is good - from production to post-harvesting and value addition.
He said the country also needs modern storage warehouses to address post-harvest wastage. “When we call you to come and invest, we will also help you find a new market. We provide cheap credit to farmers... and Kenyans who invest in Uganda will get credit at the same rates as Ugandans,” explained Rwamirama.
READ MORE
How manufacturing fell off its lofty perch
Revamped rail from Naivasha to Malaba nears completion
Use technology to lure young people in Africa to farming
Kenyan, Nigerian firms secure Sh165m grant to boost farming
He said the Ugandan government has invested in research, production system, industry, and primary processing to offer valuable information to both farmers and investors.
Mombasa Governor Ali Hassan Joho [centre], his deputy, William Kingi, and Minister of State for Agriculture - Uganda, Bright Rwamirama.[Omondi Onyango,Standard]
“So if you want to invest in these areas, we will show you how to invest and there are incentives available,” said the minister.
Ugandan State Minister for Investment and Privatisation Evelyn Anite said 25 industrial parks across the country will be given free of charge to Kenya investors.
Anite said the investors will also enjoy nine tax incentives once they incorporate their businesses either in Uganda or Kenya. “We give you free land in our 25 gazetted industrial parks across the country without any conditions. You just have to incorporate your business in Nairobi or Kampala,” said Anite.
She said those who will be importing advanced machinery will also enjoy free import duty. The investors are also assured of a ready market as the government will vouch for their manufactured commodities.
“We are looking for strategic partners to add value to our minerals,” said Anite. She asked investors to get into the water logistics because the two countries connect easily through Lake Victoria. “Chose Uganda as your investment hub because we are close to you and we can be able to develop together,” said Anite.
Evelyn Anite (right) at the Kenya Uganda Agri-business Symposium. [Courtesy]
Minister of Trade, Industry, and Cooperatives Uganda Walakira Godfrey urged Kenyan investors to invest in the coffee sector which is the most traded commodity globally after oil and gas. He said Uganda is the number one coffee exporter in Africa but it still could not meet the global demand.
Walakira said the figures are good and they cannot go wrong with farmers getting Sh150 per Kilo. “In Uganda, your number one thing to invest in is coffee. We invite investment into the coffee value chain as we seek to produce instant coffee. We produce seven million bags per annum yet the target is 20 million bags in the next five years,” said Walakira.
Fresh Produce Exporters Association of Kenya Chief Executive Officer Hosea Machuki said Kenya is the lead exporter of Avocado and is willing to share market information with Uganda to fill the deficit on the global market and march Mexico. He also said Kenya is also struggling to meet the export demand for sweet potatoes.