Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's going on the much reserved Museveni's son? He is now openly supporting Egypt..







 
What's going on the much reserved Museveni's son? He is now openly supporting Egypt..








This museveni son ni mpumbavu sana, apart from being tribal hajui kipi aseme na wapi. Akiwa rais huyu ataingiza nchi kwenye migogoro mikubwa ya kidiplomasia.
 
GDP yetu kiuhalisia kabisa ni Kati ya 100 na 150$ bn
But let it be maana mashindano ni mambo yakizamani, kinachomatter ni Maisha mazuri kwa wananchi
with your small annual revenue collections, uchumi wa 100 t0 150 cannot have such small cash u ignorant, ama haujui mkusanyiko wenu wa mwaka? nchi bado ni fukara wacheni kujitia hamnazo, tembelea data za serikali yenu πŸ˜‚ , port income ni ndogo, airports revenue small, retail and banking bado ni hafifu, telecommunications way below Kenya etc.., vitu vingi bado mko chini sana, uchumi hauwezi kukidhi mahitaji ya kila siku unaropokwa tu kihisia sio kielimu, ni kiushabiki tu, blind patriotism ni mbaya, jaribu kufanya utafiti kabla ya kukurupuka, hamna jipya Tz., iko wazi uchumi wenu unaeza kuwa even $55B., mapato ya nchi ni dhihirisho na kuna mengi., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
unajua maana ya $60B wewe? sio vipicha..,ni economic output idiot.., propaganda weka pembeni.., Tz ni Dar na Dar ni Tz, na bado hiyo Dar is poverty 80%., hauwezi kudanganya World Bank, IMF, na akina AFDB na angles za vipicha, hiyo ni ya kupumbaza vilaza kama wewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., tunajua mlivyo, hekaya za abunuasi bakisha vijiweni πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwamba hapo sio Tz au ?
refer back to what I posted.., nani kasema sio Tz., hiyo picha inatumika kueneza propaganda eti Dar iko developed, but nikasehemu kadogo sana., on average Dar is underdeveloped, way below Nairobi., hiyo ata an objective person will tell you.,
 
Yani umeshasahau kichapo tulichowapa kwenye idadi ya majengo marefu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Copy paste hiyo uzi hapa.., mliishiwa pumzi kabla ya GTC peleka ujinga mbali.., kujimwambafy tu.,
 
Morogoro town bus terminal , even Nairobi don’t such facility with installed traffic control system View attachment 1945773

View attachment 1945770
View attachment 1945771
View attachment 1945772
sasaa Nairobi yenye bus terminal hii unategemea iwe na traffic control system?

Nairobi's Khoja Bus Terminal

Si ungeuliza choo kiko wapi? ☝️ ☝️ ☝️ ☝️


hebu angalia the kind of buses zime-park Morogoro Bus Termianal kwanza! πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
refer back to what I posted.., nani kasema sio Tz., hiyo picha inatumika kueneza propaganda eti Dar iko developed, but nikasehemu kadogo sana., on average Dar is underdeveloped, way below Nairobi., hiyo ata an objective person will tell you.,

Wewe shida yako nini? Kwani hapo si ni Dar au unataka tupost picha za entebe?
 

Hawa watu ni wachafu kuanzia vichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…