Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Khaa, ati? Hebu mention hizo investments za Tshs 3 trln hapo Dodoma! Labda unamaanisha investments za Chato+Mwanza! Kumbuka majengo ya ofisi ya serikali Mama ndo katoa fedha, Dodoma ring road na airport fedha za AfDB ndo zimetoka! Muache kutufanya sie wajinga! JPM kajenga Ikulu (kasri la Mfalme) kubwaa ya Chamwino (extragavance), Tume ya Uchaguzi, NBS, Migration na ile hospitali isiyo na lift ya Uhuru! Na zile ofisi za wizara zilizo kama shule ya chekechea! Hebu leta hizo zinazofika Tshs 3 trln! Msikuze sana mambo jamani!
 
Sitatengua kauli.
na huu mjadala wa magu vs legacy vs samia hauna tija 'tanzania ni 1 na ibaki kua1 chochote magu alichofanya alifanya kwa ajili ya tanzania ndo maana zaidi ya sanda na jeneza hakuzikwa na ndege wala silaha alizonunua au ilo jengo la tanesco!!
 
Lishamba., westlands.., sio wasteland.., mkipata anything outside ya hiyo CBD yenu uchwara kama westy nahama jf..,
 
Wewe si mtoto wa mzito huwezi jua vile wakenya wenzio wanakufa njaa..

Vipi mzee atashinda coming next year election?

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
still early to tell, and I know what goes around in Kenya., mnatamani wakenya wafe, uchumi uporomoke, 2022 kukue na machafuko ya kisiasa.., nyie watu balaa, we will rule and top u forever as long as the earth remains, take it to the bank.
 
Chato haimegwi Prof. Tibaijuka kashaweka-stop! Yaani baada ya kujimegea kila kitu mlitaka kutengeneza mkoa mkawanyang'anye Kabanga madini yao ya nickel! Kama si ukabila, uchoyo, tamaa na ubinafsi uliopitiliza, ni nini?


 
kama wa mama yako sio?

Hapo Chato as Chato village ukipata nyumba 1000 zina umeme nahama humu ndani!


View attachment 1946942
We kama umenuna jiandae kupasuka like tuuufffff.......๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
sio umeme tuu hata shida ya maji hakunaga lami ndo usiseme hospital ya kanda jee? chuo cha veta jee? tra je ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ af unajua nini pesa za kumalizia iyo miradi ipo
meza tofali kama unahasira sana
 
Chato haimegwi Prof. Tibaijuka kashaweka-stop! Yaani baada ya kujimegea kila kitu mlitaka kutengeneza mkoa mkawanyang'anye Kabanga madini yao ya nickel! Kama si uchoyo na tamaa na ubinafsi uliopitiliza, ni nini?


imegwe au isimegwe haiuu kinachomata ni maendeleo tu.
 
still early to tell, and I know what goes around in Kenya., mnatamani wakenya wafe, uchumi uporomoke, 2022 kukue na machafuko ya kisiasa.., nyie watu balaa, we will rule and top u forever as long as the earth remains, take it to the bank.
I know you know every move as you are so close to the corridor powers.

Your way of doing politics and your political structure which founded on the bases of ethnic groups is the one which depict the situation after elections. No one is wishing you for the worst.

Najua mkishinda nyie mambo yatakuwa Safi, mki loose means it will be total loss.. Not only politically but also.... You know...
 

wewe kweli unajua kutoka Nairobi hadi Moyale ni umbali upi? 967KM! kama kutoka Nairobi hadi Mombasa is around 480km., na kwa gari utachukua 9 hours, what of moyale? So kwa akili yako fupi hakuna barabara kule? mitanzania na kukurupuka hamjambo, na mtu akisema siku mbili do u think it is 48hours ama ni figure of speech kumaanisha ukianza safari leo unafika kesho yake, fanya utafiti kwanza, chunguza uhakikishe kabla ya kukimbia kupost.., mbona mnajiaibisha hivi siku hizi? wivu na chuki ni roho mbaya ya kishetani, badilikeni ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ., mimi kazi yangu sasa imekua kuumbua propaganda hadi ndani ya mishipa yenu.., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ., mko hovyo, sio tu taifa pia ndani ya vichwa venyu kuna tatizo, kama hizi ndio fikra zenu., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

How Moyale got their road network.., road network hamtufikii..,

 
Kenya iko sawa., we are woke.
 
Kuwa na adabu kuwadi mkubwa wa Chatogang! Mipandgo ya Mungu haina makosa though! Maana nina uhakika angeleta mpasuko mkubwa wa watu wa Kanda ile nchi ya Sukumagang na mpango wake wa kumega ardhi mikoa mingine!

CRDB Bank is renting her Chato Headquarters...!
 
Ukubwa wa GDP unaenda sambamba na state subsidy na social welfare ambayo Tanzania leads in comparison to Kenya na ndio maana life is cheap in Tz cause the state bears the burden.
 
Niko hapa kuwakumbusha umaskini wenu[emoji23][emoji23][emoji23] dont forget you are a very poor nation.
View attachment 1946899
Unatukumbushaje umaskini wakati iyo airport tu apo kunya land mnawish mngepata[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kawaulize vizur ndugu zenu walio wai fika Tz....ata jeuti ya kutuita maskini unaipata wapi ww fukara unae ishi kwenye nchi inayo tangaza NJAA KAMA JANGA LA NCHI KARNE HII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ