Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

4 new Kempinski Hotels/lodges in Northern zone




MY TAKE
Waangalie uwezekano wa kujenga na nyingine Arusha city ili strategically iwe rahisi kushukia KIA na kuongeza mapato kwa TCAA/TAA na pia kwa Air Tanzania in the future wakianza continental routes! watalii wawe wanaanzia safari Arusha si sasa itakuwa wageni wa kempinski wanashukia Villa Rose Kempinski Nairobi na kuinufaisha KQ na JKIA!
 
Weka record ya tourism basi tujue umeweka record mpya au ya madini kenge wewe 😆😆 unatuletea chuki za kijinga hapa

Hujui hata viwanda venyewe vilianzishwa na nani hahahahahahahaha😁😁😁😁
Utalii saizi umeanguka hilo liko wazi,covid ikipungua uta rebound
 
Wewe huoni cabin ya Canter hapo au ubishi tuu
According to your thoughts, but hyo ni company ya kenya wanaunda body zao hvo..
Chasis za bus na lorry zipo tofauti mzee kwhyo acaha kushtuka na body
 
Hili daraja nalo haliishagi tuu,tatizo pesa,wasimamizi au mkandarasi? Miaka Mingapi wanajenga? Kwa staili hii like la Pangani si litaisha 2030 sasa.
 
Sasa *****[emoji304] anatoaje mwongozo [emoji849] ni upumbaavu kama kuongozwa na mwanamke tu
Wewe ni WA kupuuzwa,ila watu dizaini yako mnaotumia uhuru wa kujieleza kwenye mitandao vibaya kwa kukashifu na kutukana viongozi mjiandae kisaikolojia.

Onyo limetolewa na PM,Waziri wa mambo ya ndani na WA Habari na teknolojia..

Sheria ya mitandao aliyoasisi mwendazake haijafutwa,ipo nakukumbusha tuu kama mlidhani mliitunga kwa ajili ya Chadema sasa hivi ndio utajua sheria ni msumeno,endelea kutukana Rais..
 
Wacha maneno ya kijinga ...unaweza niambia kwanin ujenzi wake ulikwama kipindi JK akiwa madarakani?
 
Naona miradi ya mama iyoo...[emoji16][emoji16]
 
Wanajitia upofu....na kwajinsi ambavyo mama anawaheshim hao jamaa...angeanza yeye urais sijui tungekuwa na hili bwawa wala hata ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…