Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaha!!we sema tu hujui[emoji1787][emoji1787]
Sasa kwanza unaanzaje kulia na vitu usivyovifahamu..

Yani machungu yenu ni vile tunajiundia body
Usisahau kwamba karibia China inawaninua na kuwafanya kitu mbaya.

Kukopa kutamu ila kukopa hovyo lazima mlie kilio cha mbwa koko πŸ‘‡



 
Kuna baadhi ya Wakenya wanajifanya Watanzania kwa kumkashifu Magufuli na kumsifia Chief Hangaya na Watanzania wajinga wanaingia kingi.

Wakenya wanafurahia kuona tumepoteza bonge la kingozi na kupata KILAZA.
Naona unapigania Legacy isisahaulike πŸ˜ƒπŸ˜ƒ..

Chief Hangaya is here to stay till 2030 ,,Ona mambo mazuri ya Madam President πŸ‘‡











 
Nilifikiri unajua nikawa nashangaa huleti picha. Kaangalie na Kenyatta ishaungwa na daraja, Toure drive imebaki kuwekwa alama tu
 
You must be very stupid. Keep on being such an idiot.

Kindly, don't quote my posts.
Ukileta upumbavu unataka nani akuchekee? Atakuchekea Mkeo fala wewe na kwa taarifa yako Unajisumbua ,punde ukileta upumbavu wako nitakukoti kuweka sawa na huna cha kunifanya..

Na deal na contents zako si deal na sura yako kima jike wewe.
 
Picha ya mama kwenye Kuta za Jiji la New York πŸ˜†πŸ˜†..

Asiyempenda akajinyonge πŸ‘‡
 

Attachments

  • VID-20210923-WA0004.mp4
    4.8 MB
Ukileta upumbavu unataka nani akuchekee? Atakuchekea Mkeo fala wewe na kwa taarifa yako Unajisumbua ,punde ukileta upumbavu wako nitakukoti kuweka sawa na huna cha kunifanya..

Na deal na contents zako si deal na sura yako kima jike wewe.
Oya hii sio jukwa la matusi tafadhali sana Moderator sio katika Mila zetu
 
Napenda kuona akili kama hzi 😁😁😁😁
bro biashara ya ndege ni ngumu sana.., sisemi utani.., so far ATCL haijatengeneza ata shillingi moja.., zero, running on tax payers money πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…