Gangi Longa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 275
- 135
neno hiliwatu wanamchukia mama wako so wrong u can't be the master of all trades!
JPM alikuwa mzuri kwenye infrastructure ila mama ni mzuri kwenye trade/business/commerce! Yaani budget yake imegusa kila mahali (6 months in power) ila watu wanampinga! Na mama kamrudisha Prof. Mbarawa Ujenzi na Uchukuzi maana alijipambanua vizuri alipokuwa pale!
Jamani mambo mazuri hayataki papara!
na structure ni kubwa angalia vizuri ni kama size ya Mwanza!Unaweza kukuta gharama za kulipa fidia zilikuwa kubwa sana, maana wajomba zangu wanaijua sana ngurugu🙂
Nisome vizuri kaka utaona nilichomaanisha! Mama ana-promote utalii anajua 17% ya GDP Tanzania inatoka humo! Na ameshaondoa na tozo kwa muda! Tulikuwa tunakaribia 2 mln tourists sasa utalii umeshuka sana! Na kuurudisha inahitaji jitihada za ziada la sivyo tutabaki hapahapa!Mbona kazi inaendelea mkuu, ona hii ya wababe wa technoloji iliisha wiki iliyopita, ingawaje ilikua virtually lakini ilivuta wabobezo wa dunia nzima....
mbarawa is doing wellDodoma city ring Highway!
safii, unajua kuna biashara zinaendana pamoja kama kuuza vito na utalii! Vinahitaji a "give and take" approach na si ubabe! Yaani punguzo la tozo za utalii ili watalii waje halafu wanunue na vito pia!Mbona kazi inaendelea mkuu, ona hii ya wababe wa technoloji iliisha wiki iliyopita, ingawaje ilikua virtually lakini ilivuta wabobezo wa dunia nzima....TAKE
Kuna wengine walizuia kabisa summits na conferences na wakati huohuo wakijua sehemu kama Arusha na Zanzibar zikitegemea utalii unaoingiza karibu $4 bln (pamoja)! isitoshe wakaanzisha mbuga vijijini kwao na kuwekeza pesa ndefu kwao! Pia alitoa ruksa wamachinga kutandika biashara zao mbele ya maduka yanayolipa kodi stahiki! Truth to be told biashara was purely not his trade!
TCF TCH ziko regural checks..huku TCJ ikienda mumbai leo..tukimaliza kesi ya Joburg mkulima...787 itakuwa inaeda JoburgThis is so satsfying to see View attachment 1950772
Pharmaceticuals cost us alot of Foreign Currency..hii ina save Reserves na inaongeza ajira
Ni kweli kuna kiwanda cha vaccine pia chaja!Pharmaceticuals cost us alot of Foreign Currency..hii ina save Reserves na inaongeza ajira
Jinga kabisa wewe dume zima unagawa ccm[emoji304][emoji304] [emoji849][emoji849] ccm nje nje[emoji1787][emoji1787]
waanzishe pia routes za Zanzibar-Nairobi, Zanzibar-Mombasa, Dar-Mombasa, Mwanza-Nairobi, Mwanza-Mombasa, Kilimanjaro-Mombasa!
BTW sijui kwanini fast ferries za Dar-Zanzibar hazifiki Mombasa?