Kuna tatizo na imani hiyo? Wewe ni Mkristo leo kwasababu miaka Mia nne iliyopita wakoloni walileta dini ya Kikristo kama njia ya ku-brainwash watu wawaibie rasilimali. Unafuata dini iliyoibia Babu na Bibi zako na dini iliyotumika kuiba rasilimali zao na kuharibu tamaduni zao za asili. Fikiria ungekuwaje leo kama wakoloni wasingekuja Afrika. Yawezeka ungekuwa na dini za asili za Kiafrika, ambazo wengi wanazihusisha na ushirikina. The point is, you are no position to dictate what or who I believe in.Kwahiyo unataka kusema kwamba wewe unaamini unavyoviona tu?
Mkuu basi wacha haya mambo mana nahisi wewe itakuwa muda wako umeshapita mana Walker ninayemjua mm co huyu, huyu amefirisika kimawazo kabisa, Walker ninayemjua mm alikuwa wamoto hakuna mkunya au mjinga mjinga angemgusa, lkn Walker huyu amechoka sana may be hii I'd walii hack wajanja.Kuna tatizo na imani hiyo? Wewe ni Mkristo leo kwasababu miaka Mia nne iliyopita wakoloni walileta dini ya Kikristo kama njia ya ku-brainwash watu wawaibie rasilimali. Unafuata dini iliyoibia Babu na Bibi zako na dini iliyotumika kuiba rasilimali zao na kuharibu tamaduni zao za asili. Fikiria ungekuwaje leo kama wakoloni wasingekuja Afrika. Yawezeka ungekuwa na dini za asili za Kiafrika, ambazo wengi wanazihusisha na ushirikina. The point is, you are no position to dictate what or who I believe in.
Kuna yule mbwa alisema ametuma mtu wake aje Dar apige picha chakushangaza mtu mwenyewe ameamua kubaki Dar mana amegundua ni kama peponi kuliko kurudi jehanam ndogo ya duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1956386
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Spot on. I have to constantly take breaks to avoid contamination from their stupidity. Ni wajinga hadi hua siamini saa ingine nadhani naargue na mtoto wa chekechea. Mashabiki sana wa ccm.
I have been a very big follower of this thread since 2017 around Feb.their like 10 people on this thread typing 24hrs daily!!I wonder do you guys even have time for your family, home or office chores [emoji3][emoji3][emoji136][emoji136]....I even here some are old Men but they are reasoning like my 2 year old Son mostly Tanzanians
Contractors huwa wanakula pesa za bure Kenya, hawamalizi miradi wanaacha ng'ombe zielee juu ya vumbi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1956382
Mpaka leo kimyaaaa, Wakenya bhn yeye mwenyewe hela ya kula inampiga chenga alafu anatuma mtu aje Dar wkt nauli tu ya ma3 inamsumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti katuma mtu? Hahaha, watu wanajibebesha majukumu makubwa sana, kwamba katoa budget kabisa nenda Dar kapige picha tuchafue JF[emoji1787].
90% ya roads zao zinakaa hivyo.Kama zizi la ng’ombe
Mpaka leo kimyaaaa, Wakenya bhn yeye mwenyewe hela ya kula inampiga chenga alafu anatuma mtu aje Dar wkt nauli tu ya ma3 inamsumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niligundua hata hilo moja tumia darubini kulichunguzwa huenda nalo umepigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikiliza ushauri wa Mwenyekiti Ichoboy, anasema kwenye maneno kumi chukua moja tu [emoji1787].
Hoja kama hii ni Kielezo tosha kuwa watanzania wengi elimu hawana. Tatizo liko wapi nikimuongelea marehemu? Mnaongea kuhusu Yesu na Mungu kila siku mmeshawahi kuwaona Kwa macho? Kama huwezi kuhumili hoja ya mtu mwingine endelea na mambo unayoweza kuhumili.
😂😂😂😂Weka nizihesabu na floors zote..., Dar tunaijua., deceptive perspective..,
View attachment 1955897
Eti three times Nairobi.., 😂 😂 😂 😂 ..,
View attachment 1955903
You try to show yourself as someone who likes to respect other people’s opinions, but you still won’t respect my opinions. What are you? A hypocrite!
Ninasema kuwa elimu yangu ni ya juu kwasababu kwanza nimeipata kutoka kwenye world-renowned universities. Two Ivy league institutions and one top European university. Na hapo sijaongeza vyuo nilivyosoma as part of my study abroad pursuits. Na pia Nimefanya kazi kwenye faculty zilizobobea kwenye filed zao duniani. Haijalishi niseme nilisomea kitu gani chuoni, that alone makes my education of a better quality than yours will ever be. Lakini lengo langu si kufanya comparison ya elimu yangu na yako, even though unanilazimisha nifanye comparison.
90% ya roads zao zinakaa hivyo.
Huo weusi ni mikojo jamaa wa slum wanalala kwenye vipenyo hapo juuWatu wanapanda mazao juu ya flyover [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1956374View attachment 1956375
Hapana,Baada ya Manji kunyang'anywa manispaa ilikuja na mpango mpya wa uendelezaji wa eneo hilowampe Manji lile eneo sio?