Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Hivi pia wataka kusema hakuna wezi Bongo, duh, nyie vilaza kweli? Itakuwa Brazil, watalii walifanyiwa wakati wa World Cup, tena mchana kweupe, sisi Afrika ndio tushangae. Wewe kweli bado umefungiwa nyumbani kwenyu, toka utembee! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£hakuna cha kawaida in reality mna maisha magumu kupitiliza,kwa hiyo location almost 60% ya watu ni vibaka kuanzia madereva wa daladala,boda boda n.k..
hao vibaka wangekuwa hapa bongo kwa jinsi wanavyotaka kuiba kizembe wangeshakuwa maiti,hao raia wa pembeni wasingewaachia.
what comes to mind when I here the word mwanza is nyegeziπ€£π€£π€£,,,the rest are history
Apart from kiswahili miiingi and trolling kwa ground there's no successful project in tanzania.am not biased like you,kwa brt na bridges ndio mmejaribu kidogo
Size yenu nipo hapa haya nawahitaji haraka sana mfike, mlete complain zenu twende sawaUnapigia mbuzi guitar bure π π π π idiots are wired to listen to what pleases their deceived minds., ukweli ni dhulma kwa mtanzania., wahurumie wakue na wikendi njema angalau, usiwatese na ukweli.
Without us wakulima wenyu watakosa hela ya mfukoni na mavuno yao mengi yataozeana! π€£ π€£ π€£Without Tanzania's food, life is impossible in Kunyaland [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nyie mnapenda kujifurahishaWithout us wakulima wenyu watakosa hela ya mfukoni na mavuno yao mengi yataozeana! π€£ π€£ π€£
Masaa manane, sasa huko ni kukosa kazi za kufanya, ambia serikali yenyu iwape kazi, mtoke vijiweni penye free Wi-Fi! π€£ π€£ π€£ π€£Kenya ni Internet user uchwara wana beep tu ,yani wanawasha net dakika kumi uwaoni hata humu jf tunashuhudia ,mkenya hawezi kukaa online kwa masaa 8 kwa siku
Hata ikipaa angani itakuwa bora zaidi! π€£ π€£ π€£ π€£Hiyo ship itakuwa sinking mashine
Hata Chato Airport pia ni International, msiisahau! πππThe fourth, fifth and sixth international airports are also coming up in Songwe, Mwanza and Dodoma.
Hao sio vibaka, inaonekana wazi kabisa hao hata chakula hawajala, njaaaaaHivi pia wataka kusema hakuna wezi Bongo, duh, nyie vilaza kweli? Itakuwa Brazil, watalii walifanyiwa wakati wa World Cup, tena mchana kweupe, sisi Afrika ndio tushangae. Wewe kweli bado umefungiwa nyumbani kwenyu, toka utembee! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hivi unajua maana ya "tribalism?Hawanaga ukabila eti, ata mm nimeona! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1960222
ππΏ Picha zimesimama wima, safi sana...Shukrani Mkuu, halafu nimeona wanaanza kutumia haya maeneo Vizuri. Juzi juzi Kinondoni walifanya Tamasha la ufukweni Pale Coco Beach kwenye mihogo.
Leo ilala wanafanya Ilala Kanivo, OKTOBOA pale Ufukweni karibu na Gumkhan. Jiji linaishi kwa sasa.
Bila kusahau vinjwaji natural kabia Madafu pia yalikuwepo.
View attachment 1960109
View attachment 1960110
View attachment 1960111
View attachment 1960112
View attachment 1960113
View attachment 1960114
View attachment 1960115
View attachment 1960116
Wewe ni mgeni hapa punguza mdomo, wenzako wakunya mwaka Jana walikua wanafungua Uzi wakijisifu kwamba Kenya internet users wamefika 40M, ninyi zaidi ya mdomo na kupenda kujisifia hamna kitu mumezidi TanzaniaMpaka hii nayo ligi?... [emoji51] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
At last another blue baby [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Leo mekuja na maswali nataka majibu, hivi nyie Kenyans na kelele zote mnapiga humu, hasa wew bwana Vintech na wewe Don YF we all know kwamba majengo marefu yote tz ni mali ya watanzania, nataka mnitajie hata jengo moja refu hapo kwenu ambalo ni mali ya wakenya. Ili tupime nani Kati yetu anajiweza na nani anajikweza.
Road ipi mkuu.260 km dual carriageway loading
Tunafurahi ndoto ya JPM inaenda kutimia