Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yanga haitapewa ubingwa, Yanga itachukua ubingwa cz they deserve more, angalia mpira inaocheza Yanga kwa ss ni tofauti kabisa na timu za vpl, inacheza kibingwa, pasi zinapigwa mpaka nguo zinaungua kwa minyooko ya kipapaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha.... Uchaguzi is around the corner.. lazima watanzania wafurahi.. Simba atafanya vizuri kimataifa.
Yanga atashinda nyumbani.... I can literally see it unfolding with time [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

1.2.3 Action[emoji16][emoji172][emoji3590]
 
Hawa watu wanakuanga na excuses za kipuzii sana. Does it means hizi gorofa zetu refu ukanda huu zitaacha kuwa Kenya manake zimejengwa na our able private sector? Kufikiria ni ngumu kwa hawa majirani wetu.
Wakenya huwa hamna akili ya kuelewa mambo, hujaambiwa kwamba hazipo Kenya, umeambiwa kwamba utaje maghorofa mliyojenga kwa pesa zenu kama wakunya na cc tutaje tuliyojenga kwa pesa zetu zen tutaangalia nani fukara asiye na uwezo wa kujisimamia yeye kama yeye.
 
imekuingia hiyo uwe unatembea na kutoka out ya hicho kijiji chenu chenye pori la akiba,
najua pesa huna iba utapata kirahisi vibaka wenzako wapo kwa city center wanavizia simu za watu.
This is what we call people like you here😄😄😄😄

Unajismamia na almost half of your GDP are generated from funding😂😂😂
 
Gari si hoja, Gor watembea na gari ya maziwa (Tuzo) Azam machine kubwa ya Irizar....Lakini uwanjani ni Gor:10-Azam:0.

That Poor Gor can’t beat anyone nowadays. Just a poor team,
Kwa sasa Timu namba moja Kenya ni sawa na Biashara United hapa Tz, au Gwambina FC
 
Kwani hzo zenye zipo zilijengwa na pesa ya kitanzania? Mbona unafikiria kama popo? Sisi serikali yetu hiwezi fanya kazi za private sector. Serikali iko na kazi ya kuunda miundo mbinu ambazo zinamfikia kila mkenya kama barabara, meme, hospitali
 
Serikali ya Kenya is just broke,
It can’t build a 10km road without loan or grant.
 
Simba hav been there ever since Mo Hajazaliwa, what are you trying to say ?

By the way all your best players hapo Kenya dreams to play in Tz sababu ya Pesa [emoji385]
best players??? Mnakuwanga Sawa kweli💁💁💁ama hiyo best hujuhi ata ni nini
 
That's why you just love to engage with private sector,,,your biggest club Simba Kama si muhindi dewji sai Ingekuwa worse than gor
Si Azam ni
That Poor Gor can’t beat anyone nowadays. Just a poor team,
Kwa sasa Timu namba moja Kenya ni sawa na Biashara United hapa Tz, au Gwambina FC
Kitu najua bora kutoka Azam ni Energy drink...Ingawa kuna wale wanaitumia kama viagra.
 
That's why you just love to engage with private sector,,,your biggest club Simba Kama si muhindi dewji sai Ingekuwa worse than gor
We unajua history ya Mpira Tanzania au unaongea Tu🙄?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…