Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe DSM unaijua???🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Siijui vile lakini kaka zako wenye kutoa real life kwa ground wanaijua, ama pia utawaruka useme ni wamsumbiji na wanyarwanda hao??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
List of gangs in Nairobi πŸ™‚
Gaza -kayole
Takataka-zimmerman/
Usiku Sacco
Wagenge-korogocho
Lamba lolo-kisumu ndogo
Tsunami
Al Pacinos
Etc etc
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Mpaka majina ya nyimbo za gengetone! Umeisha wewe! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Siijui vile lakini kaka zako wenye kutoa real life kwa ground wanaijua, ama pia utawaruka useme ni wamsumbiji na wanyarwanda hao??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nimekuuliza wewe narudia tena DSM unaijua apart from maneno ya kuambiwa maana Mimi Nairobi naijua mitaa yote ya slums nimefika nikimaanisha easltands nashukuru kazi yangu πŸ™‚
 
Nimekuuliza wewe narudia tena DSM unaijua apart from maneno ya kuambiwa maana Mimi Nairobi naijua mitaa yote ya slums nimefika nikimaanisha easltands nashukuru kazi yangu πŸ™‚
Halooo, wabongo wakilia jua kuna jambo! Ni hayo tu! 🀣 🀣 🀣
 
Mpaka majina ya nyimbo za gengetone! Umeisha wewe! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
🀣🀣🀣🀣🀣aisee majina ya Gangs za Nairobi πŸ™‚
 
Aibu ndogo unaijua kariadudu?,mandrakos, Balkans?,mowlem? K.c.c? We unafikiria nafanya guess work?
Hivi unawafahamu - Nyange Nyange, Vibaka wa Ukonga, Madereva wa Noah, Vicheche??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hao wote wa Tz... Tena bado!
 
Hivi unawafahamu - Nyange Nyange, Vibaka wa Ukonga, Madereva wa Noah, Vicheche??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao wote wa Tz... Tena bado!
Peace index 2020
Tanzania 54
Kenya 124
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…