Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni suala la muda tu mkuu, wataelewa
 
Timu za wanawake zinafanya vizuri sana.
 
Imeichukua Tanzania miaka 5 kufikia nusu ya ndege zote za Kenya (Kujumlisha na walizoazima)
Ila kenya inapiga safari mara 70 ya air Tanzania......mibongolala mnafaa muelewe air Tanzania haipo hata top 10 airlines in Africa. Eti airline safari ndefu inapiga ni safari ya chato ndo ya kulinganishwa na airlines zinapiga safari hadi za ulaya na marekani. Sijawai kuona watu wajinga kama watanzania wa hapa JF
 
Wewe tuliza mshono ,ni swala la muda mtaelewa Tu🙂🙂Kwanza tupe update ya BRT kwenu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwanza, Kisumu, Nakuru, Eldoret.
ni kama hizi miji zote zinatoshana. mwanzoni nilidhamani Mwanza ni jiji kubwa sana ikizingatiwa kuwa ndo jiji No.2 Tz
 
Wewe tuliza mshono ,ni swala la muda mtaelewa Tu[emoji846][emoji846]Kwanza tupe update ya BRT kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungekua unaelewa airline business hungeandika huu ujinga....vipi zili ndege za mbeleni mbna hampigi nazo hata regional routes?
 
Km watu wangelikua na akili km hizi zako, basi dunia ingekwama..
Yani kw akili zako expressway haina faida kw nchi kisa toll, we unajua taifa litaokoa pesa kiasi gani zinazopotea kw ajili ya kutokuwepo hyo barabara..

We unajua impact yake katika uchumi ama unabwabwaja tu.
 
Ingekuwa bongo hapa watuu wangesusa kupanda, yani mtuu aache kupanda basi linalotembea 80 - 120 km kwa saa alafu ni luxury akapande huo utopolo wa 80km alafu nauli ni karibu na sawa Acha utanii jamanii [emoji28][emoji28][emoji28]
Story za vijiweni acha mkuu, km kitu hujui kaba
 
Tanzania reli yenu ni AREMA bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…