Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una hamisha goli sio? Uwezi kujisifia kuwa deni la ndani ni kubwa kuliko la nje wakati mnakopa ndani ili mlipe nje.
Post yangu inasema mnakopa ndani kulipa madeni ya nje, kama umesoma hiyo link nilikuwa nime post, usinge jibu huu tumbo, maana wameelezea vizuri kabisa kwanini ni mbaya kukopa ndani kulipa deni la nje.

Kwa kukusaidia tu, 1. wapo ni hela nyingi inayopotea kwa exchange rate. Mnakopa nje in US, unakuja kukupa ndani in Ksh then Convert it to US kulipa nje. Huo ni ujinga.

2. Unatoa hela kwa kukopa ndani ya nchi na kupela/kulipa nje ya nchi. Seriously, how do even begin to justify something like that???

Acha kukurupuka. Soma, Tafakari ndiyo unijibu.
 
Hawa jamaa wanaokolea na grants, donation na well wiahers..
Nchi haijiwezi ishajinyeaa
I never thought I would see something like that. Yani seriously they are waiting for IMF to construct desks for them😂😂😂
 
GOT imejaza madeni ya nje zaidi ya 70% yani mlivyokua matahira mkanunua mindege alafu mkaiweka chini ya GOT mbona watu wasizimezee mate
Refer hapa

 
Tumekopa!!! Fala ww,kuna tofauti ya kukopa na msaada,na hizo pesa tutazilipa,kukopa ni heshima,msaada ni udhalili🖕
You are still just proving my point right. Even with the debts it shows that you can't finance your education system without external help.
 
Nenda kasaidie wenzako huko Kibera kuokota mifuko ya mavi angalau slums ziwe safi kidogo maana naona unamwaga pumba tu hapa.
 
I'm sure you don't even understand your own comments. Back to your link, Kenya is borrowing from wealthy Kenyans to pay external loans. Please underline the word "Kenyans". The lesson you should learn from that event is that Kenya is heading to a point that we will no longer depend on whites and Asians to loans us money accompanied with huge conditions.
 
Nenda kasaidie wenzako huko Kibera kuokota mifuko ya mavi angalau slums ziwe safi kidogo maana naona unamwaga pumba tu hapa.
Truth hurts. And when it comes to Tanzanians it really hurts very hard, so I'm not surprised to see such words from you.
 
The points still stand. Mbona unajaribu kukwepa ukweli kijana?

Kwani unaelewa nini mtu akisema Internal debt? Mbona unaongea utumbo hapa. Leo Unajifanya hujui maana ya Internal kweli?

From whomever they borrow from in Kenya, it is still an INTERNAL DEBT correct?

It is still borrowing from internal to pay external.

You can try to twist all you want, it is what it is.

So, all the points I mentioned still applies. Borrowing internally to pay for an external debt.

Usiji SHEMBENDUE hapa kuwa difference ya Internal vs external debt ni ndogo.
 
We borrow internally to reduce external debts. Kenya is heading towards advanced countries where internal debts constitute huge percentage of total debts. Take examples of US, Japan, China, UK etc. All those countries I mentioned have internal debts bigger than the external debts.
 
Wapi donation?nyinyi mlivyopewa donation ya chakula na China mbona hatusemi?![emoji706]



Maneno mengi but zero? Wapi greenfield,Uganda pipeline etc?
Donation za masoko, flyover, elimu bure[emoji1787][emoji1787]
 
Kwhyo maana ya internal debt ni "borrowing internal and paying external"[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…