Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kukiwa na maana Congo wakishinda wanakuwa nafasi ya kwanza kwa point 8 huku Tanzania ikiwa nafasi ya pili kwa point 7!

i hope watafungwa ili wabaki na points 5..
tunatakiwa tuwafunge madagascar kwao na DR Congo home kwetu magoli mengi.. sisi na Benin tunafanana kila kitu hadi magoli.. walitufunga kwetu kwa moja, na tumewafunga kwao kwa moja..
 
Hehehehehee mkuu naona unazidi kumshindilia kisu cha tumbo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
i hope watafungwa ili wabaki na points 5..
tunatakiwa tuwafunge madagascar kwao na DR Congo magoli mengi.. sisi na Benin tunafanana kila kitu hadi magoli.. walitufunga kwetu kwa moja, na tumewafunga kwao kwa moja..
Madagascar wajitahidi angalau wapate droo ili tubaki hapo kwenye qualified for the next round.
 
Haina economy impact yyte hyo donatio wala treasury haihusiki na hyo donation..
Lkn nyinyi sasa, mnapewa mpka flyover donation..yani mumeshindwa kabisa kunyanyuka
Hivi unajua umaskini wakushindwa kujilisha una aibu kiasi gani?Kama mngekuwa na pesa mngenunua chakula na sio kupewa msaada wa Chakula mtu anaekupa chakula cha msaada anaweza akakufanya chochote hata NYUMA! Mmae,hapana chezea njaa ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…