Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa sijajua Kati ya elimu ya Kenya na Tanzania elimu ipi inazalisha vilaza, mana juzi tu tumeshuhudia mtanzania akipewa tuzo ya NOBEL, tunapost kila siku humu Kimara kibaha high way inajengwa na kampuni zawa (estim), stendi za mabasi kwa mfano ile ya Dodoma na Tanga zote zilijengwa na kampuni zawa (Muhammed builders), uwanja wa ndege Mwanza na barabara tofauti tofauti zinajengwa na kampuni zawa.. kuanzia baba wa taifa na viongozi tofauti tofauti wa tz ni watu wenye heshima kubwa duniani.. kitu pekee you Kenyans mnatu'outstand internationally ni mbio za riadha tu na kurusha mikuki kule kwenye mashindano ya olimpic, Ila kuhusu elimu labda mnatuzidi kwenye kuzalisha wakandarasi wa hovyo kila mwezi magorofa yanaanguka huko kwenu
 
Bado unatema pumba mzee[emoji1787][emoji1787]
Kenyans wanafanya mengi sana kaa mkao uchambue mzee
Mwanza airport tayari steel mnatoa kenya mtaambia nini watu
 
Kw kenya hvyo vitu kenya wananunua magavana nyie ndio mumeokolewa na huo mkopo
 
Hvyo vitu mbona kwetu vipo kitambo nyie ndio munafanya sai, mnatia huruma aisee
Kwetu hta turkana vipo
 
Sasa wewe jiulize Karne hii kuna nchi inapewa msaada wa chakula na nchi ambayo 93 percent ni desert [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alafu eti mna pesa
Chakula hakiletwi katika hazina ya taifa, yani mikopo yenu inapitia treasury aisee[emoji1787][emoji1787]
 
Hofu ni mama anatonasana na mafisadi ,kila mradi utafanyiwa michezo michafu kama ile barabara ambayo waziri mkuu kaikataa wamejenga bila ya taa kinyume na mkataba ,kisha kwa unafiki waziri wa ujenzi ndiyo anajidai kuja kuweka taa badala ya kujiudhuru au mama kumfukuza kazi ,HIVYO TATIZO LA MAMA KUBWA SANA NI HILO LA KUCHEKA NA WAHUNI SERIKALINI
 
Hizi njia nne zikikamilika wazee wa mabasi watakua wanamwaga moto barabarani sipati picha aisee
Hizi ni njia nne za mjini kuunga na ile 122Km Outer Ring Road inayoyengwa Dodoma.

Njia hizi ni ile ile Inayotoka Dom to Singida via NALA, Dom to Iringa via BIHAWANA, Dom to Arusha via MSALATO, Dom to Dar via MTUMBA [emoji813]
 
Dar ni kasehemu kadogo sana kariko jengwa tower tatu pekee[emoji81][emoji81][emoji706].….yani hata kwa Eastleigh bado sana
 
Kariokoo ambayo ndio inafaa kupambana na Eastleigh inaingia zaidi ya mara tano ndani ya Eastleigh
 

huu uamuzi aliofanya nampa kongore kubwa sana!

wakenya wanasema hivyo vitu walishafanya.. sawa, hata sisi tulishafanya.. ila je ratio ya hospital beds per same no of population tutakuwa sawa? ratio ya no of CT scans per same no of population tutakuwa tupo sawa?.. ratio ya no of classes/benches per no of students tupo sawa? etc... kiufupi hata sisi tunavyo.. tulichofanya ni kuongeza huduma/machines ili watu wengi wafaidike na hizo huduma .. ishu nyingine ni Tanzania tunaongoza kuwa na maji sehem nying kuliko Kenya lkn tumeongeza magari ya kuchimba visima ili tupate maji zaidi


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…