Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha domo ya wivu,wats good you say is good,cant you see his creativity there,His house has an epic view of world life,you can sence from his home he is a Safaris guy,He apreciates the natural enviroment,saa zingine mwachage hihere
 
Je hapo ni Tanzania au sio Tanzania?
 
kwahio hapo hunaona hakutakuwa modernized? pemben tayar kuna barabara nzuri tu.. naona hapo pia kuna pavement blocks.. sijui ndo ndan ya vibanda au for parking

Bado mkuu, beach ni kivutio cha watalii, pale coco ni mjini halafu pako local sana, beach ni chafu imejaa seaweeds zinanuka mbaya na Pana wale Sea Urchins wana miba ya kufa mtu,
Ni gharama kidogo sana itamodernize ile beach iwe kivutio kwa watalii,
Panatakiwa pasafishwe, pawe na modern bars and restaurants, sehemu za intertainment, sehemu za michezo ya beach nk
 

vyote hivyo watu waingie bure?
 
hizo office za bus au ni betting office?
 
Well, cbd, Westlands, uperhill, eastleigh in one shot
Iko wapi Westlands hapa? UpperHill je? na Eastleigh?. point please πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , hizo hazipo hapa kabisaa, hazionekani kabisaaa, ona sasa kiherehere yako, kila ukiona picha ya Nairobi aerial view unadhani ndio yote πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., kwa hii angle, westlands iko kwa mgongo ya mpiga picha., upper hill na kilimani iko upande wa kulia., Eastleigh na Ngara, kuelekea greater Eastlands ziko upande wa kushoto., na kule mbele ni buildings along Mombasa road na industrial area., infact such buildings sijaona mtu ameweka humu in one photo., another business district cropping.., ata kama ni kukuwa kipofu westlands kwani haujui skykline yake? upper Hill si ungeona britam towers na UAP., jameni mzee kulikoni?
A section of CBD.,
 
kwa hiyo kile kivuko cha mombasandiyo huwa kinavusha watu hapo?

bange huziwezi achana nazo
 
Jaribu tena bila kulia hio ni CBD pekee na parts of Mombasa road. Westy pekee imewatosha. Dar hakuna big city feel bedroom ndio kubwa. Commercial zone na Industrial zone Nairobi is superior.
Kajiumbua.,
 
hiyo ni betting office ama?
 
kwa hiyo kile kivuko cha mombasandiyo huwa kinavusha watu hapo?

bange huziwezi achana nazo
Haujielewi wewe, uko na matatizo ya ki fikra, nenda beach ukazubae kule kama uko pwani., kunywa kahawa chungu na kaimati, relax tu, ni jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…