Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Plus Mwangosi yule mwandishi wa habari aliyeuwawa kule Iringa kwa kulipuliwa na Bomu na askari polisi wakati wa J.K
 
Dr aling'olewa kucha Mwabepande...
Dr. Ulimboka
Slaa aliwekewa Sumu...Mwakyembe aliwekewa Sumu...kuna watu wana unganisha kifo cha Akwelina na JPM ila wanasahau kuna Kijana aliuwawa Arusha kwenye maandamano ya Cdm na mke wa Slaa akapokea kichapo nyang'anyang'a enzi za JK...
Usimsahau Mwangozi aliyetolewa utumbo mbele ya kadamnasi
 
Jamaa wako nyuma sana, nashangaa mno, unajua zamani nilikuwa najua hz bata zilizo bongo ndo zipo Africa nzima kumbe wapiii, wenzetu tumewaacha mbali sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu sio mkenya. Balozi ya Kenya nchini Tanzania imetoa taarifa rasmi.
 
CCM ni mabingwa wa kufunika kombe, wakiminywa sana huwa wanaacha mwanaharamu apite ila kimsingi mambo yanabaki vile vile. Walifanye hivyo kwenye vyama vingi na hata kwenye chanjo. We angali nchi zote zilizoingia kwenye mfumo wa vyama vingi, zimeweza kuviondoa madarakani vyama vilivyowapatia uhuru, lakini CCM bado ni ile ile.
 
Ushuhuda wa mateso kutoka kwa washirika wa Mtakatifu JPM




MY TAKE
I wish i knew this was happened during the reign of mtakatifu cum malaika
 
Mkuu mi naongelea dhamira za kweli za viongozi wa vyama vya upinzani kujenga upinzani wa kweli. Viongozi wa juu wa vyama vya upinzani wote kwa sasa ni wanajali maslahi yao binafsi tu. Ukishakuwa na aina hiyo ya viongozi wa upinzani ni kama hakuna tu upinzani. Unafiki na uzandiki umejaa sana kwenye hvi vyama vya upinzani. Penye ukweli lazima ukweli usemwe hata kama ni mchungu.
 
Mm nitaacha huu upuuzi pale ambapo huyu mjinga ataacha upumbavu wake mana hawezi kula matapishi yake mwenyewe, au kama sivyo aseme amehamia kambi ya Kenya hapo ndipo nitaacha kumchalua, nitamfuata hata kwenye newz zake nitakuwa against huyu jamaa mpk akijitangaza kwamba yupo agaist na Tz, hatuwezi kuwalea wasaliti kama hawa.
 

hebu wote muache kumquote.. awe anajipostia tu yeye mwenyewe.. nyie mpite pemben.. mnashindwa nn kumpotezea? mbona yule opportunity cost na mashashola wengi mmewapotezea.. muongezen na huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…