Hahahaha!!! Nimekueleza huu mziki ni wa moto utakuunguza. Modern Architecture inaangalia mambo mengi sana.Glass is not for the tropics, brain wash architecture tells you that glass is modern
anagalia nyumba zetu za block za kwenu je hehehehehe hapo nd huwez kujibu na hio bado nakwambi ni wakat wa floods hehehe
Yes that one on the horizon of this slum
Kwikwikwikwi. Dar es salaam itakuunguza na utaungua. Ni ya moto sana na inachemka. Halafu inakuwa kwa kasi sana.Yes that one on the horizon of this slum
View attachment 481219
anagalia nyumba zetu za block za kwenu je hehehehehe hapo nd huwez kujibu na hio bado nakwambi ni wakat wa floods hehehe
Kwikwikwikwi. Dar es salaam itakuunguza na utaungua. Ni ya moto sana na inachemka. Halafu inakuwa kwa kasi sana.
Kwikwikwikwi. Dar es salaam itakuunguza na utaungua. Ni ya moto sana na inachemka. Halafu inakuwa kwa kasi sana.
anagalia nyumba zetu za block za kwenu je hehehehehe hapo nd huwez kujibu na hio bado nakwambi ni wakat wa floods hehehe
Hahahaha!!! Nimekueleza huu mziki ni wa moto utakuunguza. Modern Architecture inaangalia mambo mengi sana.
1. Uzito wa jengo
2. Simple to demolish
3. Cheap to maintain
4. Cheap to build
Na mambo mengi sana.
Sasa gorofa zima mnajenga kwa matofari si litakuwa zito na likianguka linasababisha majengo mengine kuharibika na kuleta tetemeko la mji.
Sasa hilo jengo lipo kama jiwe la kuanikia nafaka. Mbona la kizamani sana!!? Kwa yaani nyie mnaliwa sana pesa.Anneal, Imagine that tower won the American World Architectural Award, These ones in Tanzania are basic glass towers, there is nothing very scientific about them. Cheap buildings are build in glass
Like Sifa Towers in Nairobi
Sasa unadhani kujenga matofari gorofa zima ndiyo!? Hayo mambo yalishapitwa na wakati.No modern architecture looks at how green the building is and how adaptive it is against shock eg earthquakes
ndogo kuliko nini wewe naona akili yako haiko timamu dar is 1590 km sq my friend nairobi i9s 696 km sq, times two and ahalf alaf unaongea nini wewe heheh ww utakua punguani wa akiliAfter your few bundles are done, Dar itakuwa ndogo kuliko Kisumu. Kama ilivyo kwa sasa.
Nairobi roaring into African skies
tafuta picha za karibu hehehe sisi tunakuletea kitu live bila chengaYes that one on the horizon of this slum
View attachment 481219
Korogocho is one of the largest slum of Nairobi, Kenya. Home to 150,000 to 200,000 people pressed into 1.5 square kilometres, and up to date approximately 500,000 people pressed in korogocho nairobi city
View attachment 481094 View attachment 481095 View attachment 481096 View attachment 481097 View attachment 481098 View attachment 481099 View attachment 481100 View attachment 481101 View attachment 481102 View attachment 481103 View attachment 481104 View attachment 481105 View attachment 481106 View attachment 481107 View attachment 481108 View attachment 481109 View attachment 481110 View attachment 481111 View attachment 481112 View attachment 481113
ndogo kuliko nini wewe naona akili yako haiko timamu dar is 1590 km sq my friend nairobi i9s 696 km sq, times two and ahalf alaf unaongea nini wewe heheh ww utakua punguani wa akili
hehe likoni au niweke hapa mombasa watu over 70% wanaishi kwenye likoni slum ya mombasa maskini wakutupaMtanzania nwenzako huyo
Jamani ubishani kama huu hauna maana.. sehemu kubwa ya DAR ni mbaya sana.. na haijapangiliwa.. uchafu umekithiri, mm mtanzania lkn ni upumbavu kulinganisha Nairobi na Dar.. Nairobi wako juu tena mara kadhaa ya Dar.. Dar tunaweza ifananisha na MOMBASA JAMANI.