Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukabila, njaa, unemployment Kama ilivyo Kenya
mbona basi all major cities in kenya,... waRwanda, ugandans, ethiopians, eritreans, congelese, south sudans, chinese, pakistanis wamerundika huko kishenzi. (shida ya kukua na uchumi zaidi ya $106B gdp..) nenda kwanza kondele kisumu ujionee. ingekua bongo wangekua wamefurushwa kitambo, ila sisi sio xenophobic kama nyie
 
mbona basi eldoret, kisumu, nakuru,... waRwanda, ugandans, ethiopians eritreans, congelese, south sudans wamerundika huko kishenzi. nenda kwanza kondele kisumu ujionee. ingekua bongo wangekua wamefurushwa kitambo, ila sisi sio xenophobic
Ukifika Adis Ababa utakuta wageni toka nchi mbalimbali za kiafrika.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa nafanya nao kazi Wana kiburi Sana,hata madem wao Wana zarau hatari! Aalafu wanabaguana wao kwa wao sijui tigre,oromo[emoji849]mkute sasa Yule anajua English ndo utakoma[emoji849]
Huwa wanajiona Waisrael, ndo walimu wao wanavyowafundisha darasani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…