[emoji23][emoji23][emoji23]siku zote shida ndiyo inayomfanya mtu atape tape na kutafuta pakutokeaWametapakaa kwa ajili ya kujituma, sio eti kwao kubaya. KCB iko in the process ya kununua Bank fulani huko Tz, inamaanisha kuna wakenya kadhaa watakuja kuendesha branches za hiyo bank huko - hiyo ni kujituma, sii kukosa. Kama vile Wachina, Walebanese na Wazungu walivyotapakaa Afrika - sio eti kwao hakuna - ni kujituma wamejituma.
Kwa nini wasijitume kupelaka maji na chakula Turkana na kuiboresha Kibera?Wametapakaa kwa ajili ya kujituma, sio eti kwao kubaya. KCB iko in the process ya kununua Bank fulani huko Tz, inamaanisha kuna wakenya kadhaa watakuja kuendesha branches za hiyo bank huko - hiyo ni kujituma, sii kukosa. Kama vile Wachina, Walebanese na Wazungu walivyotapakaa Afrika - sio eti kwao hakuna - ni kujituma wamejituma.
Unawaona wakiombaomba kwa streets kama ombaomba wenu walivojaa huku?Kujituma vipi wakati hata chakula ni shida?
Mafala tu hao,dawa yao dada zao wakikupitia karibu ni kuwapiga nao tuKweli mnawaelewa hawa jamaa, huwa wanajisikia kishamba sana.
Ndo nimejua leo mkuu,kumbe jamaa ana hela si mchezo.wasiojua hii.. morena hotel ni ya Shabiby yule mbunge na mmiliki wa mabus ya shabiby line
ipo nje ya msamvu bus terminal upande wa pili wa barabara
mara ya mwisho nilikuta wamejenga hio structure tu.. hio finishing.. rangi, vioo sivikuta .. now naona ipo completed
Kama
Dad zao wako poa tatizo huwa wanaogopa stigma ndani ya jamii yao kujichanganya na watu wengine.Mafala tu hao,dawa yao dada zao wakikupitia karibu ni kuwapiga nao tu
SeeUnawaona wakiombaomba kwa streets kama ombaomba wenu walivojaa huku?
Ila na wenyewe wakifika mbele target yao kubwa wapate mzungu mwenyeji sababu ya makaratasiDad zao wako poa tatizo huwa wanaogopa stigma ndani ya jamii yao kujichanganya na watu wengine.
Watu wanachukuaga ubunge kama collateral ya kukopa pesa za biashara.Ndo nimejua leo mkuu,kumbe jamaa ana hela si mchezo.
Bongolala la Gongo la Mboto haliwezi elewa maana ya kujituma. 🤣 🤣Kwa nini wasijitume kupelaka maji na chakula Turkana na kuiboresha Kibera?
Huwa wanawatumia tuu, mwisho wa siku wanaoana wenyewe kwa wenyewe. Na katika sehemu ambazo wako wengi kama DC huwa hawawahitaji wenyeji, wanaona hata ndugu kwa ndugu.Ila na wenyewe wakifika mbele target yao kubwa wapate mzungu mwenyeji sababu ya makaratasi
Kelele "mingi" tuu nyie "wakora" mnashindwa hata kufinance kamradi ka $200m.Bongolala la Gongo la Mboto haliwezi elewa maana ya kujituma. 🤣 🤣
Ninawaona wakifa kwa njaa huko vijijini na hapo Nairobi wakilala na kuishi katika mabanda ya nguruweUnawaona wakiombaomba kwa streets kama ombaomba wenu walivojaa huku?
Hizi story za ombaomba zilishapitwa na wkt, hata Wakenya wenzako hawawezi kukuelewa ukiongea huu upu upu.Unawaona wakiombaomba kwa streets kama ombaomba wenu walivojaa huku?
zoeeni kutravel. Mmekaa hapo Tandale vijiweni hadi mmeoza akili mkiongea hamueleweki.Kelele "mingi" tuu nyie "wakora" mnashindwa hata kufinance kamradi ka $200m.
kunatofauti kubwa sana kati ya kusafiri na kulowea. Watanzania siyo walowezi.zoeeni kutravel. Mmekaa hapo Tandale vijiweni hadi mmeoza akili mkiongea hamueleweki.
Hivi hawa ombaomba wamejaa huku ni walowezi ama watembezi? 🤣 🤣 🤣kunatofauti kubwa sana kati ya kusafiri na kulowea. Watanzania siyo walowezi.
Maziwa ya mama Tanzania matamu, wananchi wametosheka nchini kwao.
Tofaut ya newyork na dar au nairobi ni moja tuCongratulations Dar is Slum. Largest city on planet earth.
View attachment 1984051View attachment 1984052