Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Enzi za 10%, labda niwakumbushe tu wakunya kwamba Tz ni nchi ya pili barani Afrika kuwa na ng'ombe wengi sasa mnataka kushindana nayo mtaweza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hivo unataka tujenge ikulu yenye hatuhitaji kwa sababu nyinyi mnajenga? Nikikuita sokwe utanilaumu?Tunajenga mpya iko Dom ni kwa pesa za ndani unataka nikuoneshe?
Anaishi nje?Yani miaka 60 ya uhuru mmeshindwa kumjengea Nyumba Rais wa Kenya, wallahi nyie ni mbwa kabisa.
Sahii wako kwa state house.π€£π€£hehehe.....
these Bongolalas started the skyscraper debate but they came up short (all puns intended ππ)
they quickly switched to libraries wakagundua hawatoshi mboga.
I can't wait to find out what their insecurities lead them to talk about next.
Mpaka ukishaona wakunya wameandika hivi na kutangaza wazi wazi kwenye MSM zao ujue tayari hali ni mbaya.
sabasaba hapoHyundai Tanzania [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] wadau wa vibanda.
Hyundai Kenya, The motor hub of East and Central Africa.
Heehee, ati Tanzania ishinde Kenya kwa idadi ya ng'ombe? Lawd have mercy. Halafu put in mind pia inategemea ng'ombe gani. Wewe na Ng'ombe yako inayotoa maziwa lita moja kwa siku ujilinganishe na Mkulima wa pale Githunguri au Eldoret mwenye ng'ombe moja inatoa lita 40 kwa siku? Yani ng'ombe moja huku inatoshana na ng'ombe 40 hapo kwenu.Yani tuwazidi kwa ng'ombe alafu watuzidi kuzalishaa maziwa we uliskia wapi
hakuna maziwa ya brookside wala KCC kwa sasa hvi kwenye soko la tanzaniaWell, I always take you to be brainier than dimwits like Venus Star ichoboy01 and The best 007 that's why I gave you more relevant information that proves Kenya is the biggest producer of milk in Africa and also exports milk to Tanzania but if you've decided to be superficial like them then let me give you some - Brookside is sold in Tanzania, New KCC is also sold in Tanzania.
[emoji1787][emoji1787]aki..kwa hiyo nembo ya kenya katikati ya simba ni kiumbe gani ? na nini maana yake?Office of the president Tanzania.., a high school administration block [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vs Office of the governor, Nairobi
Antique with appearance of status and class..,
ata ya Vice president is old but classy, commands authority...,
Kampuni za juzi hzo[emoji16]mlichelewa sanaA[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1369]umeongea km mdada ..[emoji23][emoji23]komora
Uzalishaji wa maziwa na ngombe wengi ni vitu viwili tofauti mzee[emoji1787][emoji1787]Enzi za 10%, labda niwakumbushe tu wakunya kwamba Tz ni nchi ya pili barani Afrika kuwa na ng'ombe wengi sasa mnataka kushindana nayo mtaweza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]