Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani oil terminal ya singapore imehamia mombasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ona sasa oil terminal yenyewe 🀣🀣🀣🀣🀣


sikio haliwezi zidi kichwa
 
Wewe kilaza nakupa ripoti ya World Bank wewe unaniletea blogs za uchwara! Ujinga itakutoka lini?
umekasirika au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Sama boy 255 Hii picha inaonyesha jinsi hamna skyscrapers au majengo marefu mahali pengi isipokuwa cbd yenu pekee. Sasa ona picha kama hii hapa ambapo hakuna skyscraper hata maja. Majengo yote ni mafupi tu kama mchwa.

ww huoni ni residence area au akili yako fupi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna sehemu kama hzo huruhusii kujenga gorofa zaidi ya tano
 
hebu tizama render ilivo alaf tuoambie nn mumejenga na ukumbuke now inaenda 15 yrs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo pesa wanayochoma hapo bora wangetumia kupambana na njaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
serekali ya kenya haiko kwa jili ya wananchi iko kwa ajili ya matajiri wanasiasa wachina na wazungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
maneno ya mkenya ni kuchukua neno moja na kuondoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…