Kwa hivyo watanzania wamekuwa watch dogs na whistle-blowers wa mashirika Kama WB na IMF? 😂 😂Sisi kwanza hatuna hata kawaida ya kuongopa mzee, hata madudu yanayotokea nchini mwetu tunayajadili humu ndani na wote mnaona, ukiona kitu tumeshkilia bango na kukipinga vikali ujue huo ni uongo (hicho kitu ni cha kutengeneza/taarifa zisizo na uhakika), sasa sio watu wa kujikweza babu hujatuelewa tu bado.? Nicxie
Kwa hivyo watanzania wamekuwa watch dogs na whistle-blowers wa mashirika Kama WB na IMF? 😂 😂Sisi kwanza hatuna hata kawaida ya kuongopa mzee, hata madudu yanayotokea nchini mwetu tunayajadili humu ndani na wote mnaona, ukiona kitu tumeshkilia bango na kukipinga vikali ujue huo ni uongo (hicho kitu ni cha kutengeneza/taarifa zisizo na uhakika), sasa sio watu wa kujikweza babu hujatuelewa tu bado.? Nicxie
Nyie c mnawaiga wazungu, mnasahau kwamba Africa tuna tamaduni zetu, ss hapo unashabikia nn kama co ujinga huo.Freedom of media is the best thing that happened in Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2016875
Wewe ni mdanganyika taga mjinga sanaNyie c mnawaiga wazungu, mnasahau kwamba Africa tuna tamaduni zetu, ss hapo unashabikia nn kama co ujinga huo.
Wakenya hamna akili
Hebu tuambie kati ya KQ (shirika la wazungu na Mama Ngina family) na Atcl (shirika lilioanza juzi tu) lipi linalooneka kuendeshwa kwa weledi?Wewe ni mdanganyika taga mjinga sana View attachment 2017021
Endelea kuropokwa lakino ujue wewe ni taga muongoHebu tuambie kati ya KQ (shirika la wazungu na Mama Ngina family) na Atcl (shirika lilioanza juzi tu) lipi linalooneka kuendeshwa kwa weledi?
Tangu kuanzishwa kwa kq haijawahi ku make profit hata cku moja zaidi ya kula pesa za tax payers.
Wakenya hamna akili
They only agree with the white man when he favors them.🤣🤣Kwa hivyo si wewe umesema watanzania wana akili na kwamba sio watu wa kuathirika na mipaka walioweka wazungu? IMF kusema hampo tena LDC huoni kama ni mipaka? Na mbona mlikubaliana na hiyo taarifa yao? Mbona hamkujifanyia uamuzi nyinyi wenyewe kama Tanzania na kusema hampo LDC now that nyinyi si watu wa kuwekewa mipaka? Hiyo elimu yenu iko wapi kama bado mnategemea data za wazungu mnaowabeza on another hand?
Huwa wanashindwa kutofautisha media freedom na ukosefu wa adabu.Nyie c mnawaiga wazungu, mnasahau kwamba Africa tuna tamaduni zetu, ss hapo unashabikia nn kama co ujinga huo.
Wakenya hamna akili
Ss hivi wimbo umebadilika, kila baya linalotokea anasingiziwa marehemu kwamba alijenga ukuta kwamba ukuta ndiyo umeleta wezi yn ajenge ukuta alafu aamke aje kukamata wezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2017054
I once said in here,there is something fishy going on at Mererani,naona imekuwa kweli
Ss c ungeweka picha moja tu ingetosha kuliko kuweka picha 10 za vijengo hivyo hivyo, ni ujinga huu.ATHI RIVER | Safaricom Crystal Rivers Mall
View attachment 2017063View attachment 2017064View attachment 2017065View attachment 2017066View attachment 2017067View attachment 2017068View attachment 2017069View attachment 2017072View attachment 2017073View attachment 2017077View attachment 2017078
View attachment 2017074
View attachment 2017075
View attachment 2017076
Mambo yamepamba moto [emoji91][emoji91] aisee, kila siku wanazindua safari, kweli wameamua, ss tutaona abiria watapanda mikweche au brand new planes.[emoji122] [emoji122] [emoji122] View attachment 2017096View attachment 2017097
Maendeleo ya Tanzania yanawauma sn wakunya, mpk ss uchaguzi wenu case study itakuwa ni maendeleo ya Tanzania.Endelea kuropokwa lakino ujue wewe ni taga muongoView attachment 2017089
Nasema ukweli, nilipo umeme upo 24 hours wala haukatiki.
Na nipo kwenye moja ya jiji tena mjini kabisa.
Labda ni baadhi ya sehemu ndo kuna matatizo ya umeme kukatika ovyo.
Moja ya comment ya raia wa Zambia.Mambo yamepamba moto [emoji91][emoji91] aisee, kila siku wanazindua safari, kweli wameamua, ss tutaona abiria watapanda mikweche au brand new planes.
Basi itakuwa ni baadhi ya sehemu mzee.Mgao ni kweli mzee hasikuambiee mtuu mpaka serikali inatoa taarifa rasmi bado uamin Nenda mikoani huko ndio utaipata vizurii
Yani mtu aache kupanda a220 au dreamliner au the upcoming Max apande mikweche uliona wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moja ya comment ya raia wa Zambia.
"Karibu Sana Hapa Ndola Before Tulikua Tukipitia Nairobi Kenya Ili Kufika Tanzania.. How Much It Cost From Ndola To Darisam"
Unadhani wapika data wanapenda namna ATCL inavyo jitanua! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mikweche iliyojaa kunguni! [emoji23][emoji23][emoji23]Yani mtu aache kupanda a220 ndege au dreamliner au the upcoming Max apande mikweche uliona wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]