Yeah thats..good..the focus ku improve Housing kwa extremely poor..hata sisi Tz inabidi tufanye ..ili kupunguza informal settlements..but kuwatoza kodi itakuwa hectic..lakini the goverments inabidi zifanye hivi..even if ita charging them 10usd a monthZote zilizojengwa zina wateja. Demand iko. Though one thing we need to look at is housing for the extremely poor. Real Estate focuses too much on the middle class and rich.
Bondeni hyo, naona imekutatiza sana[emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona sasa umechanganyikiwa, nani kakwambia mombasa kuna vumbi we *****Vumbi mtindo mmoja, kama Uganda mwanangu.
Hapo ndipo watajua umuhimu wa JNHPP, bwawa litajazwa mpk maji yatamwagika, unajua kuna watu ni wajinga sana, eti wanaungana na wanasiasa uchwara kusema kwamba tumejenga JNHPP mvua ziko wapi, huwa nawachekii nasema hiiiiiiiiMvua zimeanza kunyesha sasa....sijui watasingizia nn tena
Kwahiyo hili co vumbi ni matako yako haya [emoji116][emoji116]Naona sasa umechanganyikiwa, nani kakwambia mombasa kuna vumbi we *****
Ilo bwawa linatutoa jumla....nashawishika kusema apo hatukupigwaHapo ndipo watajua umuhimu wa JNHPP, bwawa litajazwa mpk maji yatamwagika, unajua kuna watu ni wajinga sana, eti wanaungana na wanasiasa uchwara kusema kwamba tumejenga JNHPP mvua ziko wapi, huwa nawachekii nasema hiiiiiiii
Mombasa hakuna vumbi mzee, huo ni mchanga contractors wametoa sehemu husika..pole sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hili co vumbi ni matako yako haya [emoji116][emoji116]View attachment 2026228View attachment 2026229
Ala. Kwani wewe unafikiri Dar is more developed than Nai? Na uko serious? HahahaAlafu wanawatumia wazungu wakisema Nairobi is the most developed city in EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani picha moja imewashtua hadi mnaanza kutoa theories za maajabu ili kutafuta pa kutokea?Photoshop hiyo Boss ( Baada ya ka research Kadogo)
Hapo kuna picha mbili tofauti, zikiwa zimepigwa na camera inaweza kuwa moja ila lens tofauti.
Lens iliyotumika kupiga mwezi ni Zoom lens na iliyotumika kupiga hiyo long exposure kupata hizi light trails ni Wide angle.
So technically huwezi zoom hadi kwenye Mwezi na bado ukapata hilo li angle lote kutokana na focal length.
Pia kama angepiga mwezi na hizo light trails kwa pamoja na mwezi pia ungeweka trail kwa kuwa na wenyewe unamove taratibu, Ungeweka mstari wa mwanga pia .
So hapo Jamaa ka merge picha mbili na kupata moja.[emoji41]
Utaskia Dar ni city ya gorofa tatu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] izi mafiiii sio bure kunalaanaWakuu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2025543
asante kwa render πππππ€£These beautiful babies are going to kiss Nairobi skyline soon with pride. Eight towers 34 floors each! View attachment 2026031View attachment 2026033
Mvua zimeanza kunyesha sasa....sijui watasingizia nn tena
same pic bila lipstic sasa π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mombasa hyoView attachment 2026146
Kuna infrastructures za kisasa nyingi zipo Dar na huwezi kuzipata EA na nchi zote za Afrika kando ya SA na Egypt.Ala. Kwani wewe unafikiri Dar is more developed than Nai? Na uko serious? Hahaha
Hawa lazima wauwane watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]oneni barabara na makazi hayo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]