Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu nikishapata jibu litanisaidiaje? Nina nguvu ya kuleta mabadiliko?
 
Fala wewe huwa una support wakiiponda Tz na c Kenya, mbwa wewe haya ni support na mm basi ninayesema serikali ya Kenya imejaa wezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe kilaza usiyejielewa ni mtu wa kusupport? Kuna watu wa kusupport ila sio wewe
 
Nilisema kuwa ukiingia CBD ya Mwanza kitu cha kwanza kuona ni makazi duni na bado kuna watu wanasema mimi ni muongo.

Evidence: Exhibit 1.
View attachment 2026445
hio sio CBD kumbe mwanza huijui 🀣🀣🀣🀣
kwa taarifa yako CBD hii hapa


ukiambiwa mwanza huijui unakasirika 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nicxie njoo ucheke na humu pia
 
hio sio CBD kumbe mwanza huijui 🀣🀣🀣🀣
kwa taarifa yako CBD hii hapa


ukiambiwa mwanza huijui unakasirika 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nicxie njoo ucheke na humu pia



Kwa hiyo hiyo sehemu kwenye picha yangu ni wapi?
 
hayo ni maeneo outside the CBD mzee kubali mwanza huijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Outside the CBD? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Really? So unanigaslight namna hii kwasababu hukubaliani na mimi?

Fukwe za ziwa Victoria Ndio CBD?
 
Outside the CBD? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Really? So unanigaslight namna hii kwasababu hukubaliani na mimi?

Fukwe za ziwa Victoria Ndio CBD?
nikikwambia ww huijui mwanza unalia kwann sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana leo
zawadi yako hii hapa

 
nikikwambia ww huijui mwanza unalia kwann sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana leo
zawadi yako hii hapa

Video yako haionyeshi chochote bora. Bado slums ziko pale pale na zinaonekana wazi wazi. Picha niliyoipost unaikataa lakini ni valid. Hospitali ya BMC inaonekana vizuri tu mlimani na CBD ya Mwanza inaonekana kweupe. Kwa hiyo kataa uwezavyo. Ukweli umekuumbua! Unasema hiyo picha ni outside the CBD? Let’s pretend that you’re right. Haya kuna afadhali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…