Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiku mwema nyie viazi [emoji1648] vya kikunya, kesho tutaendelea na hii mada ya intelligence a.k.a ndege ya siri iliyombeba Magu na iliyopita chini ya ardhi kiasi kwamba hakuna mtu yeyote aliyeona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
na ukimuuliza pilot wa hio ndege atakuambia sisi hatukuona sura yake..lkn tulisikia perfume yake.. na mke wake aliesafir nae hatukuona sura yake maana alijifunika na kilema kuanzia utosini kichwan hadi shingoni
Hilo jamaa taahira sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ eti kiongozi wa nchi asafiri na private company tena akiwa mahututi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Company yenyewe ka NGO ka misaada kanaitwa Amref ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yaani wa kunya mmemchukulia local sana Rais, katika ulinzi wa kiongozi mkubwa kama Rais hakuna jambo nyeti kama usafiri, hasa usafiri wa anga, hata akiwa maiti Rais wa nchi hawezi kusafirishwa na huo uchafu unaoitwa Amref

Ni uhuru kunyata tu ndio mwenye hizo guts
 
Huyu ilikuaje nae Amref hawakuja kumchukua? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Huyu probably alipitishwa chini ya bahari na ndege ya intellectual ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Meanwhile kaliadudu bloggers walikosa bundle ya kuruka live ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

 
mtu ambaye hajui kesho atakula nini hawezi kuniambia kitu, pambaneni na njaa kwanza
 
Barabara kali hamna mabanda kuna markings and side walks [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hii ni lami au masizi.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Barabara kali hamna mabanda kuna markings and side walks [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hii ni lami au masizi.
An equivalent of this in Tanzania is an untarmaced road. Hapo Dar ukishatoka main road hakuna Lami kabisa - hata kwa mitaa ya Kifahari kama Oyster Bay na Mbezi.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ