Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lipia kigamboni wewe[emoji1787][emoji1787]hela ya ndani kw vipi, si mlipie hilo daraja ndio toll fee ziishe
 
unawashwa na wakenya kulipia toll unasahau huko kwenu dalala inalipa tsh5000/ksh244 ili kuvuka daraja??
View attachment 2035278
imejemgwa na serekali ya tanzania imagine na tozo zinaenda serekalini nyie je tozo zinenda kwa nani kama sio mchina kwa miaka 30🀣🀣🀣🀣 yani hata aibu huoni

project ya mchina na tozo za mchina who is gaining and who is loosing??πŸ˜‚
 
Ngoja leo niwaonyesha hawa wa kenya namna tunavyowachukulia, hii ni baada ya leo serikali ya kenya kutangaza mtu yoyote ambae hajapata chanjo hatoruhisiwa kuingia nchini humo.. bandiko . Check out tz replies za wabongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
 
Sasa maskini kama wewe ukuje kenya kufanya nini kama si omba omba, hii shida wachia matajiri bana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maskini wa tz wanakimbiliaga SA kutafuta maisha, hata maskini wa Morocco hukimbiliaga Spain kufata maisha mazuri, sasa ukiona unabezwa na maskini kwamba aje kufuata nini nchini mwako jua wewe huna maajabu/jambo la maana.. punguani wewe .. huwa unatumiaga asilimia ngapi ya Ubongo wako kuelewa mambo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..
 

Naona hawa tayari wako SA kweli
 
Pesa za ndani vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…