Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ni uongo uko kwenu hakuna matajiri mpaka mnaona Toyota ni gari za maana.? Hata wasanii wenye kipato cha juu cha kati bongo magari ya toyota wameanza kuyakwepa ๐Ÿ‘‡kutana na jux akiingia BENZ E-CLASS
kiba mwenyewe ana range rover na watu wako kimya tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ achana na hao wajinga
 
toyota ziko kila nchi ni maamuzi ya mtu anataka kununua wapi [emoji23][emoji23][emoji23] au nyinyi ndio munapanga watu duniani wanunue wapi
Hehee!!yani uache mpya kwenu uende ukanunue kitu ukisubirie miezi, pole sana
 
Kw taarifa yenu wanunuzi wakubwa nchi nyingi kutoka toyota basi ni serekali wazee, nyie kumbe hamjui mambo yanavyokwenda..
Vitu vipya vile sio kila mtu ana ubavu huo, serekali yenyewe tu pia hu lease alafu contract ikiisha wanakuja kuiuza kw wenye vihela
 
kwani hujui toyota inauzia gari zake nyingi dubai ?? au unafkiri hzi toyota kenya au toyota tanzania zinatoa wapi hzo gari ??
Narudia tena, mwenye hela hanunui gari dubai..upo?

Na eti sio eti toyota wanatoa gari dubai, hzo ni ziko kw transit mzee
 
Hehee!!yani uache mpya kwenu uende ukanunue kitu ukisubirie miezi, pole sana
hujui hata gari nyingi zinazokuja africa zinatoka dubai hilo ulikua hujui ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ndio maana dubai ndio kitovu cha biashara duniani
 
Wewe pimbi komora096 njoo nikufundishe jambo, store ya jewelry za Platnumz anauwezo wa kuwa na showroom yake ya kuuza hizo V8 zero km ๐Ÿ‘‡. Hadi akina Davido uko wanafika madukani kununua vyeni vya thamani halaf wanaambiwa Platnumz alishanunua kama hiyo ๐Ÿ‘‡ .
 
kwani hzi toyota kenya na toyota tanzania zinachukua gari kutoka wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zinachukua, nionyeshe lini toyota kenya wanachukua gari...
Toyota kenya gari zao hazitoki dubai zinakua transit mzee...

Ile sio biashara ya tomato mr.tomoko[emoji1787][emoji1787]
 
Zinachukua, nionyeshe lini toyota kenya wanachukua gari...
Toyota kenya gari zao hazitoki dubai zinakua transit mzee...

Ile sio biashara ya tomato mr.tomoko[emoji1787][emoji1787]
kwasababu toyota dubai ndio distributer wa magari karibia yote africa unabisha au??๐Ÿคฃ

transit ya kutoka wapi wakat main center yao iko dubai ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kwasababu toyota dubai ndio distributer wa magari karibia yote africa unabisha au??[emoji1787]
Hehehe!!usinitoe kwenye reli, tajiri hanunui gari dubai[emoji1787][emoji1787]
Dubai ni sehemu ya ku transit magari
 
Hehehe!!usinitoe kwenye reli, tajiri hanunui gari dubai[emoji1787][emoji1787]
Dubai ni sehemu ya ku transit magari
Ila wewe ni kilaza sana, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwahyo unataka kusema Dubai hakuna showroom za magari mapya au? Kwamba tajiri kaingia zake kwenye showroom ya Dubai,kapenda ndinga kanunua, hauwezekani.?
 
nakwambia hvi mm naeza nunua gari direct from dubai brand new ww utasema nn [emoji1787][emoji1787]
ujinga muliachiwa na nani???
Bwahahaha!!wakati km hyo ipo toyota tz[emoji1787][emoji1787]
Uache gari hku eti ukanunue dubai uisubiri wiki kadhaa wakati toyota tz unapata chombo kile kile tena siku hyo hyo..

Pole sana..naona ulienda missing google ukaambulia patupu mada ya RR..
Hapa hunitoi kabisa
 
mtu yoyote anaeza agiza gari brand new form dubai kataa sasa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

 
Ila wewe ni kilaza sana, [emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo unataka kusema Dubai hakuna showroom za magari mapya au? Kwamba tajiri kaingia zake kwenye showroom ya Dubai,kapenda ndinga kanunua, hauwezekani.?
Uende dubai ukafanyeje wakati wamekuleta mpka nyumbani...

"Toyota tz"[emoji1787][emoji1787]
 
ukakosa link kua aliagiza RR marekani ningekukamua mavi usingeamini mamaeee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ww unaumia mwenzako kununua magari ya kifakhari waka ndoto ya kumiliki ardhi huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ