Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe ni jengo moja tu ndio limemis kwenye picha.? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ni jengo tu ndo limemis kwenye hiyo picha na sio eneo!
Kukiwa na maana eneo lililojengwa jengo lipo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upanga ni kubwa sana hata mara tatu kushinda hiyo uperhil.. Kwanini nasie tusipige picha mpya nyingi ili kukomesha hizi kelele zao .? Mana hiyo mitaa sasahiv kuna gorofa nyingi mpya zinazojengwa na zilizokamilka ..
Nakwambia hivi mkuu sisi Watz kwenye suala la picha za kuitangaza nchi bado sn, media na bloggers wengi bado hawajaamka, tumeiachia serikali na wazalendo wachache ila amini kwamba mkuu huu uzi na Jamii Forums kwa ujumla umeamsha watu wengi na ss tegemea mambo mengi mapya nchi hii.

Kwa mfano tu kariakoo ya ss ina ghorofa nyingi mno zinasimamishwa ambazo ni office and residential towers ila picha ndio hivyo tena, tunaweka humu picha za zamani sn.

Maeneo mengi yana muonekano mpya lkn picha ndiyo hakuna, hizo ghorofa za over 20 zipo nyingi zimesimamishwa lkn mazoea ya picha nchi hii bado sn, hawa mbwa humu wamemaliza picha zote mpk mpya wkt cc hata 1/4 ya Dar hatujaimaliza.
 
Mbona unataja kijitonyama tena umechanganyikiwa.?
Huyo Dar inamsumbua sn, hajawahi kuijua na hatokaa aijue cz ni much know sn, juzi kaweka picha ya Buguruni aki claim ni Ilala kisa aliingia Google akaona Buguruni Ilala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii picha mwenyekiti ichoboy uitunze sana hii inajibu kila swali huko mbele.
Tushai save mkuu, huwa wanapiga vipicha vya upande upande kujifanya wapo vzr, eti wanataka kushindana na Dar interms of development wkt ka Nairobi kenyewe ni ka tiny hata mkononi hakajai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbn uliwapiga na nondo kichwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna cha maumivu hapo. Picha za juu za kijitonyama zimesambazwa huku kwa Miaka tatu sasa so we all know how it looks like. Maghorofa kando ya barabara
Wewe huijui Dar kaa kmy, hebu niletee Kijitonyama nicheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…