Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu bado kuna huduma za afya zinatolewa tu Tz ukanda huu, kenya bhn inachekesha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Who lied to you? Hehe huwa mnanifurahisha vile nyinyi hujipa moyo
 
Kenya kila kitu lazima kiishie vichakani sio sgr sio barabara 😁😁😁😁

View attachment 2044672
Hiyo inaelekea Busia border, imepita hadi Uganda, southern corridor, Kenya., ulitakaje, unatamani sana ingekua ni Mwanza, jengeni kwenu hatuwangoji πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kilimani, Kitisuru, Parklands, CBD zote zipo Nairobi ambapo ndio makao makuu ya Slums Kenya. By the way Parklands hii hapa, hakuna mji ukakosa slums in Kenya[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo inaelekea Busia border, imepita hadi Uganda, southern corridor, Kenya., ulitakaje, unatamani sana ingekua ni Mwanza, jengeni kwenu hatuwangoji πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Peleka haya machozi yako yakaue hili vumbi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

 
Our budget Na yenyu hazitoshani so hatuwezi shindana
We mpumbavu tunataka vitu kwa ground, budget ya kwenye makaratasi haisaidii, politicians wanaweka budget kubwa ili wachote pakubwa, cc tuko pekee etu East and Central Africa ktk kutoa huduma bora za afya ambazo hazipatikani popote pale East and Central Africa na budget yetu ndogo.
 
watu wajenge kwao nje ya Dar..,
Mombasa.., nje ya nairobi







 
Mkuu unaona kinoma, Kenya wababaishaji sn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuwangoji πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., bado tunaongeza Kisumu., nje ya Dar hakuna chochote to level, mtaisoma number hadi kiama πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…