Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawezi kuleta,maana wanavimiradi vidogo vidogo visivyo na tija
 
waendelee kusifia bajeti kubwa ya afya huku hospitali zao hazitoe huduma muhimu
 
Akirudi nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbn unawasokomeza mibisu ya shingo namna hii mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakunya wanatumia nguvu nyingi mno kushindana na Tz, yn Wakenya almost milioni 40 (56-16 children) wanajua kwamba Tz ni adui yao, hivyo wanajitutumua kwelikweli wakati huku kwetu ni watanzania wachache sana almost 2mil out of 45 popln (60-15 children) wanaojua kuna kitu kinaitwa battle btn Tz and Kenya.

Tanzania hamtaiweza mana ni blessed country jamani wakunya, mtajiumiza bure kushindana na Tz.
 
Kenya is the only country in East Africa and among the very few in Africa ambayo inafanya Liver Transplant. Bongo hata tissue typing machine hakuna, bado munatuma samples Kenya. Mambo ya health musionge na hamna equipments za kutosha.
 
Kununua ndege pia ni infrastructural project? 🤣🤣🤣🤣

Alafu nitawaambia mara ngapi hakuna kitu kama electric SGR?
 
Cochlear implant ndio kitu unaringia watu hapa?

 
issue hapa ni bone marrow transplant, Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika mashariki na kati
 
Onesha na bone marrow transplant and Brain surgery without opening skull.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…