Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tuliamua ni cargo for business and for passengers too......mnajidai na electric trains na kijiji mzima hapo haina stima na maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....mnaweka electric ya 150 km /hr ati ndio mshtue Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hawa hawana stima lakini fake electric train lazima [emoji1787][emoji1787]
 
Kamwe hamuwezi kufanya hiyo procedure, Kama bone marrow transplant imewashinda vipi mumweze "liver transplant?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani Kasema lazima mfanye bone marrow ndio mfanye liver transplant? Nyinyi mbona mmeshindwa liver transplant mkafanya bone marrow?
 
Kamwe hamuwezi kufanya hiyo procedure, Kama bone marrow transplant imewashinda vipi mumweze "liver transplant?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna siku utaskia mkenya amepanda ndege ameenda kupewa special treatment TZ. 🀣🀣🀣 Aibu ambayo hamtawai funika, dunia mzima inajua.

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wanalalamika kufukuzwa na kufungiwa biashara. Ukiwa mwanabiashara ufukuzwe bila ilani popote ulipo utaumia. Nataka video wakenya wakilalamika eti Tanzania imekataa kuwauzia mahindi maanake nyinyi husema mnatulisha tukiwaambia sisi ndio tunawafanyia favor kununua mahindi yenu hamsikii.
 
Maumivu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., hadi unatamani Kisumu iwe na estate moja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ pole, watu wa google earth mlaaniwe sana!, mnaanika ukweli mchana! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…