Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mtanyooka tu
 

Attachments

  • download%20(23).jpg
    79.3 KB · Views: 27
  • download%20(21).jpg
    101.6 KB · Views: 26
Kwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo
Heheheheeee tuliwaambiaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wahenga flani wanakwambia battle imevamiwa na watoto zen wakongwe wamekaa pembeni, mm nawaambia hao wakongwe waendelee kukaa pembeni mana hawana jipya, ila na cc tutakuwa wakongwe zen tutapitwa na wakati tutawaachia kizazi kijacho, weka picha wacha kutafuta ukongwe kwenye mitandao ya kijamii.
 
choice variable amemalizaView attachment 2050011
Hiyo ilikuwa 2018 mzee, kipindi ambacho hakuwa anajua miradi inayoendelea, now hasemi hivyo na yupo humu ndani.

Wakenya niwakumbushe tu kwamba nyie mmepambana kwa taifa lenu since 1960s plus wazungu ila cc tulikuwa bize kuikomboa Africa but tumeanza kuijenga Tz mpya kwa miaka 10 iliyopita na ndiyo unaona kasi ilivyo kwamba tumeistua Africa.
 
Hehehehee leo nimechafukwa kweli kweli natamani atokee mbwa nimmeze mzima mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo
KENPAULITE kamaliza battle ya Kisumu vs Arusha, hakuna tena haja ya kuendelea na battle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc Sama boy 255 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…