The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Kashangazwa kuona Tz umeme unawaka nchi nzima[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lwiva. mataa kusini tanzania sio mwangaza wa stima, bali Nathani ni forest fires kama ile ya australia. hebu confirm tena kwenye google earth uone kama hizo mataa bado vimo? NGOO!
Fanya wewe hiyo kazi, hizo taa zipo tz hakuna moto umetokea hayo maeneo bora ungesingizia edit[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuliko moto hayo maeneo ni baridi sana ni maeneo ya kilimo hadi mvua ya barafu kunawakati zinanyeshalwiva. mataa kusini tanzania sio mwangaza wa stima, bali Nathani ni forest fires kama ile ya australia. hebu confirm tena kwenye google earth uone kama hizo mataa bado vimo? NGOO!
Tundu Lisu is not stage managed?[emoji23][emoji23][emoji23]Stage managed
aah wapi.!!Kashangazwa kuona Tz umeme unawaka nchi nzima[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
labda anaongelea Gdp(PPP) yani Purchasing Power Parity. ambapo kenya sahizi inagwara $250B!in 2067 maybe
watanzania kama tuusan, mdazi, na opportunity cost ndio watanzania original shupavu, wasio abudu na ku sifu serekali ovyo ovyo. serekali sio mungu wa kuabudiwa jameni.... serekali iko pale kukosolewa. nikama punda unafaa kuikaza kwa kuipiga viboko ndio infanye kazi zaidiChanzo chako cha taarifa ni kipi?maana mimi hupitia taarifa za WB, IMF Na BOT hatujawahi kifikia GDP ya $65B kwa miaka mitano iliopita...iyo tumeifikia mwaka huu ambapo ilikadiriwa $67b kabla ya uviko...yani unataka tuwe na GDP ya $100b kwa lipi serikali imeshindwa hata kuongeza mishahara kwa miaka 6 sasa na bado tunakopa hadi hela za kujenga madarasa na x-rays machine...
Awamu ya tano ilipoamua kujenga sgr ikijua kabisa %kubwa ya mizigo inasafirishwa na barabara na nyingi bado ziko vibaya hapo ndio ujiulize iyo impact ya ku shoot GDP itatikeaje ghafla ivyo na sgr bado haijaanza kazi...vivyo hivyo JNHED Hadi ianze kazi ndio GDP yaweza panda zaidi
Dangamefi
Nikweli barabara ya lami za hali ya juu na zakisasa zinatakiwa zijengwe mara mbili ya tunazo jenga sasa ,ila hofu ni huju mjambiani mpumbavu anaye chezea kinyesi cha wahuni kwa kuwafanyw marafiki ,mfano kuna bedui anaitwa bulembo huyo ni uchafu wa hali yajuu kabisa ,anajipendekeza kwa mama ili kutengeneza fulsa za uchafuHadi june 2021 barabara kiwango cha lami ni 13,643.45km Tanzania....Yani kwa mwaka serikali imeweza kujenga 599.45km kwa kiwango cha lami....inahitajika bidii zaidi ikiwezekana wadouble walau 1000km kwa mwaka....Mimi suala la barabara nalipa uzito sana maana ndio njia kubwa ya usafirishaji bidhaa na watuView attachment 2056085
magorofa ya udongo.... kuna jengo huku chini upande wa kushoto yaani DaahHapa je [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2044974
Ninyi ni yupi kati yenu nyote mliomo humu ameshawahi kukosoa uozo wa serikali yenu kiasi mnakufa njaa na mnaagiza mpaka mchicha kutoka Tanzania huku wakenya wengi wakiwa hawana kazi na fukara?watanzania kama tuusan, mdazi, na opportunity cost ndio watanzania original shupavu, wasio abudu na ku sifu serekali ovyo ovyo. serekali sio mungu wa kuabudiwa jameni.... serekali nikama punda unafaa kuikaza kwa kuipiga viboko ndio infanye kazi zaidi
Hapo hakuna mjapani imechapia brother hiyo ni ubungo financier being GOT and concessional Loan from world Bank.Salender bridge/Tanzanite is financed by GOT and concessional Loan from South Korea not a grant.Thank you japan,wazee wa pesa za ndaniπ€£π€£π€£π€View attachment 2055006
@Tony254Who feeds you controls you
Tanzania controls East Africa