Usipost hizi hapa Tanzania hawawezi elewa hizi level Yao Ni Sisi kubishana Na vitu visivyo Na maana.. kama flyover kitoto toto ama eti daraja vitu ambavyo haviongezi raslimali
Mnaringa Na advertisement za coca Cola hehe shit hole countryTony254 sio ulaya bro [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2058055View attachment 2058060View attachment 2058061View attachment 2058063
Kwahiyo unataka kufananisha impact ya madaraja na flyovers na huo upuuzi alioweka huyo mkunya mwenzio? Imewasaidia nn ss hyo zaidi ya kumaliza pesa za tax payers? Nyie mnashida ya chakula na miundombinu kuliko kitu chochote kile kwa ss.Usipost hizi hapa Tanzania hawawezi elewa hizi level Yao Ni Sisi kubishana Na vitu visivyo Na maana.. kama flyover kitoto toto ama eti daraja vitu ambavyo haviongezi raslimali
πππ Tumia kiingireza saa zingine . Ona kiswahili kinavyokushinda πππ .. iyo paragraph yako ulitaka kumaanisha nini.? πππ.. eti watz ni nani amemuelewa huyu.?Usipost hizi hapa Tanzania hawawezi elewa hizi level Yao Ni Sisi kubishana Na vitu visivyo Na maana.. kama flyover kitoto toto ama eti daraja vitu ambavyo haviongezi raslimali
Flyover Ina impact Gani? Daraja Ina impact Gani? Kama Hakuna mto daraja wahitaji? No meaning you don't incur extra costs it's very low of people to be showing alot of bulshit instead of showing things that actually bring economical valueKwahiyo unataka kufananisha impact ya madaraja na flyovers na huo upuuzi alioweka huyo mkunya mwenzio? Imewasaidia nn ss hyo zaidi ya kumaliza pesa za tax payers? Nyie mnashida ya chakula na miundombinu kuliko kitu chochote kile kwa ss.
Acha ujinga, vyote ulivyotaja hapo vina maana na impact moja kwa moja kwenye uchumi, juzi tu watu wenu walikufa kwa kukosa daraja bora, flyover Ina reduce traffic congestion and that's why mkaingia mpaka mikataba ya hovyo ili kujengewa express way ... "If you want to get rich, build roads first" Chinese proverb.. huwez ku Link sector yoyote ya maendeleo bila kuwa na miondombinu ya barabara .. kwasasa mnahitaji barabara, maji, umeme, chakula zaidi kuliko kitu chochote.. panua akili hizoFlyover Ina impact Gani? Daraja Ina impact Gani? Kama Hakuna mto daraja wahitaji? No meaning you don't incur extra costs it's very low of people to be showing alot of bulshit instead of showing things that actually bring economical value
Hukunielewa I never mentioned roads... Roads can be roads even without flyovers flyover Ni astetic's if there is no crossing a bridge pia is not a must so meaning a bridge is important yes but does not directly contribute to the economyAcha ujinga, vyote ulivyotaja hapo vina maana na impact moja kwa moja kwenye uchumi, juzi tu watu wenu walikufa kwa kukosa daraja bora, flyover Ina reduce traffic congestion and that's why mkaingia mpaka mikataba ya hovyo ili kujengewa express way ... "If you want to get rich, build roads first" Chinese proverb.. huwez ku Link sector yoyote ya maendeleo bila kuwa na miondombinu ya barabara .. kwasasa mnahitaji barabara, maji, umeme, chakula zaidi kuliko kitu chochote.. panua akili hizo
Mzee kichwa ngumu, utawezaje kuunganisha maeneo mawili tofauti yanayotenganishwa na maji kwa barabara bila kujenga Madaraja.? Kuhusu Flyovers, kwa Dar pekee traffic congestion ilisababisha shughuli za kiuchumi zilikua zinachelewa kiasi cha kuisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi, utasemaji Flyovers hazileti uchumi mzee.? Labda uko kwenu mana mnajenga tu flyovers ili mradi hata kwenye maeneo yasiyo na tija.. Tz hatujengi jengi hovyo hayo mavitu pasipo na tija (nandio maana kwasasa Flyovers zinaonekana DSM tu ingawa zimechelewa) .. Madaraja na Flyovers vyote kwa pamoja ni muhimu kwa ukuaji wa uchumiHukunielewa I never mentioned roads... Roads can be roads even without flyovers flyover Ni astetic's if there is no crossing a bridge pia is not a must so meaning a bridge is important yes but does not directly contribute to the economy
Al this isht is summarised in one pictureAcha kulazimisha mambow mzee, picha ya kwanza huo mtaa unaitwa Moroko ni mbali kidogo na kijitonyama, dar huijui na unalazimisha ππππ unashida gani wewe π kijitonyamaView attachment 2058268View attachment 2058271hayo majengo yapo kwenye barabara moja Ila ni mitaa tofauti hiyo, kuna mpaka shughuli za kiuchumi kimpangilio wake, stendi ya mabasi n.k .. hiyo mitaa ya Sky tower ndio makumbusho uko. Ila huku πni Moroko.. View attachment 2058284pia kuna mpaka stendi za daladala na mwendo kasi kimpango wakeποΏΌView attachment 2058286
Naona umepata hasira πππ baada ya kujua hujuiAl this isht is summarised in one picture View attachment 2058357
Hasira gani? Kwani hapa si kijitonyama?Naona umepata hasira πππ baada ya kujua hujui
πππ Umekasirika vikali sanaHasira gani? Kwani hapa si kijitonyama? View attachment 2058363
Ama sky Tower huoni ndio hiyo iko kando ya moroko?
Tairi za gari yako tu zinatuambia NAIROBI iko na Barabara za hovyo πππ, tope sio la kitotoView attachment 2058346NA prepare kutoka nikawapigie picha first hand za sehemu mpya new roads you don't know muone vile Nairobi almost all roads Ni dual
Unawezaje kumjibu mpumbavu mkuu. Muache na upumbavu wake akafie mbele.Mzee kichwa ngumu, utawezaje kuunganisha maeneo mawili tofauti yanayotenganishwa na maji kwa barabara bila kujenga Madaraja.? Kuhusu Flyovers, kwa Dar pekee traffic congestion ilisababisha shughuli za kiuchumi zilikua zinachelewa kiasi cha kuisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi, utasemaji Flyovers hazileti uchumi mzee.? Labda uko kwenu mana mnajenga tu flyovers ili mradi hata kwenye maeneo yasiyo na tija.. Tz hatujengi jengi hovyo hayo mavitu pasipo na tija (nandio maana kwasasa Flyovers zinaonekana DSM tu ingawa zimechelewa) .. Madaraja na Flyovers vyote kwa pamoja ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi
WaTz wakiona radar mpya, hawajui capabilities of this malindi station
Mnahitaji zaidi chakula kuliko upuuzi wowote ule kwa ss.WaTz wakiona radar mpya, hawajui capabilities of this malindi station