Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaliadudu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo milango na madirisha ya showrooms zao ndio vimeniacha hoi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

City center unakutana na milango na madirisha ya aina hii? Imagine ukutane na hiki kituko kariakoo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Wakenya hizi ni frem za uswazi kwa Tanzania lakini wana good presentable appearance kuliko showrooms za downtown yenu number 1 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
I didn't know Shinyanga downtown is also EAC prostitution HQ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani hii ndio downtown? Kuanzia wananchi mpaka majengo vyote vimechoka, lot's of mikokoteni, prostitutes, drug addicts and poverty

Kuna mpka base la wabongo hapo wametia kambi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ