Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mboso nae alikua mombasa juzi akikusanya pesa zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Amekimbia ufukara wa Tanzania ameenda ku omba omba Mombasa kupitia kipaji chake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, tofauti yake na wale omba omba wenu walioko Nairobi wanao tumbuiza wapita njia kwa guiter na kupiga ngoma ni kidogo sana, yeye anaenda kwa vilabu ambayo watu wanalipa ili kumuondolea ufukara wa ukoo akirudi Tz awachane na mihogo na maharage, angalau asiwe na utapia mlo inayo sababisha slow brain growth matokeo ni vilaza kila konaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Mnakaribishwa nyote mje mtengeneze hela ndefuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watanzania ni watu wajinga sana. Sasa vitu zinlianza kufanyika Kenya 1990 ndio unaringa nayo? All Kenyan matatus has lED lights on them.
Wewe ndo mjinga kulinganisha unreliable, chaotic na unsafe transport system a.k.a matatu na Brt ambayo na safe, reliable,free from chaos, sometimes uwe unatumia ubongo uki comment sio ushabik wa kimandazi!
 
Wee jamaa maneno mengi yasio na maana ukunya kazi kweli 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wee jamaa maneno mengi yasio na maana ukunya kazi kweli 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Maneno yamegonga ndipo,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
NairobiWalker ulisema wakenya wanapiga pesa nyingi SA kuliko Watanzania, nikakulabua na fact πŸ‡ΉπŸ‡Ώ exports to πŸ‡ΏπŸ‡¦ ni 700$ million wakati πŸ‡°πŸ‡ͺ exports to πŸ‡ΏπŸ‡¦ ni 34$ million

Leo nimekujia na habari njema nyingine πŸ‡ΉπŸ‡Ώ to πŸ‡ΏπŸ‡¦

Note πŸ‡ΉπŸ‡Ώ exports to πŸ‡°πŸ‡ͺ ni 160$ million balance of trade favored πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ndio maana Kenya ni nothing kwetu

Soon πŸ‡ΉπŸ‡Ώ exports to πŸ‡ΏπŸ‡¦ inakua 2$B

 
Dah umeongea kitoto sn aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona mnapendanga uongo?πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama your total avocado export to the whole world was $8.5M, sasa hiyo $700M to south Africa and $160M to Kenya imetoka wapi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…