Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jamaa ni mtanzania mwenzetu lakini ajabu hatumii akili yeye anaenda na propaganda tu ndio njia aliyochagua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
yeye hapendi ujamaa mchunguze vzr sana ni mtu anaesupport sana ubepari na ubeberu hakubaliani kabisa na ujamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

dunia ya leo karibia nchi zote za ujamaa zinakwenda juu sana

tazama russia, china
 
yeye hapendi ujamaa mchunguze vzr sana ni mtu anaesupport sana ubepari na ubeberu hakubaliani kabisa na ujamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

dunia ya leo karibia nchi zote za ujamaa zinakwenda juu sana

tazama russia, china
Bro huo ni ukweli uliowazi kabisa
 
Yaani wanajikaanga wenyewe kwa mafuta yao! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu wana upumbavu wa kuzaliwa, mmoja anasema Dar-Moro ni 550km mwengine anampinga mwenzake pasipo kujua, wivu na roho mbaya inampelekea kupunguza urefu wa kipande cha Dar-Moro kutoka 300km mpaka 189km[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwengine anakuambia reli yetu ya electrified SGR tumeanza kuijenga miaka mingi iliyopita, yani ubora wa hii reli unawafanya kupagawa na kusahau kwamba imeanza kujengwa 2017.

Mwengine anakuambia reli haiishi tu anasahau kwamba tunajenga SGR yenye European standards na ndefu kuliko zote Afrika, alitaka tujenge kwa miaka miwili iishe kama upgraded MGR yao ambayo kulikuwa hakuna haja yoyote ya kumuita mchina kuijenga, mana ni kuweka tuta na reli juu ya tuta kazi imeisha, yani upgraded MGR ya Kenya hata Suma JKT wangeijenga vzr tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila yote tisa bro sisi tunatakiwa tuheshimike bhana yani tuko na speed kama China ya Afrika, ndani ya miaka kumi tayari tutakua tumekamilisha reli ya SGR 1590 km πŸ™ŒπŸ™Œ,
 
Ila yote tisa bro sisi tunatakiwa tuheshimike bhana yani tuko na speed kama China ya Afrika, ndani ya miaka kumi tayari tutakua tumekamilisha reli ya SGR 1590 km [emoji119][emoji119],
Makenya hayapendi kusikia hizi habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makenya hayapendi kusikia hizi habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ooh bro usichokijua ni kwamba hiyo ni awamu ya kwanza ya mradi, kuna awamu ya pili ujue, tutakayounganisha Kongo burundi na Rwanda.. mama juzi alisema wako kwenye maongezi ili kuona wanapataje hela waanze kabisa .. hapo tunazungumzia 2500-3000km of SGR ujue.?
 
Mzee Walker255 china ako na entire world in the country πŸ‘‡ . We unazungumzia makazi ya watu na maendeleo sehemu moja moja za US na dunia πŸ˜‚πŸ˜‚, na bado China ako na majiji makubwa ambayo sio maarufu duniani πŸ‘‡ . . Halafu unakuja kuzungumzia eti US kuna maendeleo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ u must be crazy..
 
bado wako mbali kwenye maendeleo na utajiri bro unaambiwa kwenye utalii alone morocco inapokea watalii million 10 kwa mwaka just imagine
Wametuzidi sisi ila hawajafika upper middle income kama south Africa au Botswana
 
The same is true with Nairobi and the rest of Kenya.
 
Why are you avoiding this important question: GDP ni propaganda ya mzungu ikija tu kwa mataifa mengine, lakini the same mzungu akisema dgp ya Tanzania imegrow hapo ndio propaganda inapoishia? [emoji23]
Labda nikufafanulie in simple terms ndio uweze kuelewa kuna mtu ana Ksh 1000 kwa hela hiyo anaweza kupata ugali na sukuma wiki tuu kwenye nchi yake na mwingine ana Ksh 500 anaweza kupata ugali nyama mbogamboga na beer 2 kwenye nchi yake. Sasa niambie kati ya hao wawili ni nani ambaye kidogo ni well off? Ukijua hilo sasa tutaendelea na somo lingine la purchasing power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…