Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The League is between Mombasa and Dar. Mbona Sasa unahangaika na Tanzania nzima?🀣🀣
mombasa sio level ya dar mombasa hata mwanza haitoboi wachilia dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mwanza kuna cable stayed bridge ya over 3.2km ambayo ukikusanya bridge zote mombasa hazifui dafu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hata ucheke ulie ukweli utabaki kuwa Mombasa iko na bridges mingi kuliko DarπŸ˜‚πŸ˜‚
ukipata ukalipa hii njoo ushindane na dar
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Friendly Fire [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
yani hawa jamaa kama huwajui watakuumiza sana ila ukiwajua hata hupati tabu wanasema mbwa ukimjua jina hakupi tabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi video umepost hapa mara ishirini lakini bado hakuna kitu ya kuvutia hapo ndani, so tukikuambia Mwanza ni level ya Kisii please believe us.
 
Hizi video umepost hapa mara ishirini lakini bado hakuna kitu ya kuvutia hapo ndani, so tukikuambia Mwanza ni level ya Kisii please believe us.
jibu basi mbona maneno mengi kama ww unafungua zipu ya suruali kweli🀣🀣
 
jibu basi mbona maneno mengi kama ww unafungua zipu ya suruali kweli🀣🀣
Mwanza no level ya Kisii. Hakuna venye utaanza kulinganisha hicho Kijiji with a city which has vehicle assembly plantsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…