Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuambia upange CBD zenu zote humu unatapatapa tu, eti kariokoo, muonekano wa kabul., viapartments kwa wingi.., panga moja baada ya nyingine., nikuhesabie vya maana.., hamna chochote., utazunguka palepale tu na kiswahili mingi.., mbona ukweli hampendi, ukubwa sio maendeleo, na ukubwa wa Dar ni udongo na idadi ya watu not business district πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Vipi umekosa picha in comparison .? πŸ˜‚πŸ˜‚ Jaribu kuwa fea hata kama unaona unaelemewa.. imeona hiyo KK na posta zote zipo jiji (ilala district) Ambayo Iko na ukubwa huu πŸ‘‡while Nairobi yote iko na ukubwa huu πŸ‘‡ambapo humo humo ndani kuna mbuga za wanyama slums nyingi mno n.k . Alafu uko hapa uko hapa kubeza DSM πŸ˜‚πŸ˜‚ we ni famba nini.?
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ni 2022 hii desperation haitokusaidia, unatangatanga google tu, hujui ni mwaka gani, pale hujui pako vipi kwa sasa., hiin haibadilishi ukweli., Dar bado sana kwa Nairobi., tena kwa mbali.., 25 years mtasubiri tu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚..,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Baba kariakoo pekeake inawatoa ushizi, eti ukweli hatupendi .. vitu vinaonekana mzee
 
For instance this is Kariakoo πŸ‘‡can you show me anything similar to this kutoka uko Nairobi.?
 
ngoja nipige lunch mzee Ojwani ,narejea
 
Leta hiyo sehemu iliyo jengwa ndani ya Ilala District, yaani "town" yake ili nikuonyeshe ukubwa wa Dar ni idadi ya watu na makazi tu..., hadi unaingia wikipedia kujikomboa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Baba kariakoo pekeake inawatoa ushizi, eti ukweli hatupendi .. vitu vinaonekana mzee
Eastlands pekee imefunika hiyo Kariokoo na ni mix ya makazi na biashara kadha unaniambia nini wewe.., point yangu CBD yenu ni moja tu, sehemu moja., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar huijui utapata tabu sana mzee.. posta, Kariakoo, ilala (mtaa) zote zipo ilala district.. ile industrial area kubwa zote zipo ilala district.. Dar yenyewe kumbe unaiona kwenye picha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eastlands pekee imefunika hiyo Kariokoo na ni mix ya makazi na biashara kadha unaniambia nini wewe.., point yangu CBD yenu ni moja tu, sehemu moja., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
WANAOGOPA GOOGLE EARTH BECAUSE IT CAPTURES THE SITUATION IN REAL TIME.....
 
Eastlands pekee imefunika hiyo Kariokoo na ni mix ya makazi na biashara kadha unaniambia nini wewe.., point yangu CBD yenu ni moja tu, sehemu moja., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Unaanza Kuchanganyikiwa eeh, unaanza kufananisha financial district na nyumba za makazi ya watu .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ omba poo ndio ntakusameh
 
achana na habari za ukubwa,hebu narudia tena nakuambia hivi ,nothing special kwa hapo Nairobi.
tafuta shughuli ya kufanyaView attachment 2080655View attachment 2080656
Yaani ata ndani ya google earth natafuta angalau nione CBD zingine kila sehemu ni watu tu wanaishi., nyote mmekimbia ufukara wa mashambani na kuleta ufukara Dar.., ona tu...,





Angalau hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ pako nafuu na sio sehemu kubwa na pana kama vile kwingine πŸ‘† πŸ‘† kulivyo.., Dar bure kabisa..,
 
Unaanza Kuchanganyikiwa eeh, unaanza kufananisha financial district na nyumba za makazi ya watu .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ omba poo ndio ntakusameh
Haukwepi dogo, wapi town ya Ilala district? panga hizo CBD zenu hapa nione maendeleo yao, na ni kipi cha maana., wacha kulia lia.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Naona umeenda kutafuta hadi Mbagala aah kmmk πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hapo NAIROBI umbali huo unakua upo katikati ya msitu
 
Haukwepi dogo, wapi town ya Ilala district? panga hizo CBD zenu hapa nione maendeleo yao, na ni kipi cha maana., wacha kulia lia.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 spenso vigunguti
 
ha haaaa,ulitaka waishi punda,
hizo sehemu zote zina huduma zote muhimu,

si lazima uende city center kuchukua kitu
 
Niweke mara ngapi baba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaongea kinoma ila hutoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…