Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hilo najua.. nataka kusikia mama kama amewahi kuuzungumzia public .. yan hata bungeni? .. katika kumbukumbu zangu sijawahi kumsikia hata kidogo!

Rais azungumzie vitu vingapi? Ndio shida ya kuzoea kuwa na Rais ambaye anadhani anajua kila kitu na anapaswa kuzungumzia kila kitu hadi migogoro ya ndoa za watu, acha Taasisi ya uRais na serikali ifanye kazi kaka, uwanja utajengwa, najua shauku yako kwenye eneo hili, sio mara moja naona unapendekeza namna gani ifanyike. Mipango ipo na itatekelezwa.
 
Train yenu ya SGR pekee inatumia 40% ya mafuta yote ynayotumika Kenya, sisi hapana taka ujinga huo ndio sababu tunajenge electric one, lengo ni kupunguza matumizi ya mafuta ili kusave foreign reserve yetu
So pia miaka za nyuma SGR ilikua inafanya kazi? haikuepo na bado gap ilikua kubwa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , tz ni nchi fukara sana; yaani watu ni wengi, linchi ni likubwa, matumizi ya mafuta kidogo sana., idiot, try some other reasons nione, hii imewauma na propaganda zenu, lazima niwaumbue πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tanzania nzima hakuna gold medal ya Olympics au any world recognized athletic competition [emoji23][emoji23][emoji706] Mdanganyika hawezi twambia kitu chechote kuhusu michezo.
Mmisri alishasema hamnaga nauli ndio maana mnakimbia sana
 
What will Kenya look like in 2030? development everywhere...,
 
Hii umeaibisha ichogal na stories zake za vijiweni,
huyo hawezi niaibisha kwasabbau mm nawajua wakenya kuliko mtu yoyote humu ndani na mkenya akisema uongo mm namjua kasema uongo 🀣🀣🀣🀣🀣

shida yenu nyinyi munanichukia sana kwasababu naanika uongo wenu na ushuzi wenu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
My fellow countrymen.....don't be lured to expose your personal details over here.....the words of these haters will add or subtract nothing from your life
Those are idiots bro., wanaumia sana, wivu na chuki is driving their sentiments, waelewe, ufukara ni mbaya, it is mental, read their reasonings utaona., anyway we have sober guys here too, a good number., the rest ni ku "Alt-Control-Delete" in the mind.. yaani una puuza.., ukweli with undeniable facts zinawaumiza waelewe bana, ndio dawa ya blind patriots and clueless idiots πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
weka facts all the time, hadithi za vijiweni wawachie wao πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
alaf mombasa ndio ishindane na znz ya 2021 hahahha acheni Mungu aitwe Mungu
Mombasa inashindana na Dar.., Zanzibar is a coastal village kilaza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., what is the value of Zanzibar's economy in comparison to Mombasa, anzia hapo kwanza.., wacha ikashindane na Mwanza, another village town called a city πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
acheni tu nicheke zanzibar ni moto kwa sasa tena ni moto usiozimika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na bahat nzuri bandar mpya ya kisasa ushaanza znz yani tegemea makubwa sana znz na hamutaamini 🀣🀣🀣🀣

dar ni sawa uchukue nairobi + mombasa + kisumu + eldoret + nakuru combined πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wee wacha mdomo, umegongwa na fact ukachanganikiwa, 2018 mkiwa 3b liters sisi tulikua 5b[emoji1787]
 
Na si ni ukweli, ulitaka wapitishe wapi mizigo ilhali Lamu port was not there, still supporting infrastructue ziko under construction πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., alafu Lapset is not Targeting whole Ethiopia but Southern Ethiopia pekee.,Lapset lazima itawatesa hapa mbele., tulia mujionee gap after gap, year in year out...,
hamja pata picha bado., ama mnajitia hamnazo tu kama ilivyo kawaida yenu, mnatamani sana isifaulu., mnaangukia pua, watch it closely..., slow but sure...,

Ethiopia na Kenya ni nchi za kujituma sio kama nyie..,

PM Abiy, Kenyatta commit to increased trade​



MONDAY DECEMBER 14 2020​


President Uhuru Kenyatta and Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed in Moyale on December 9, 2020. PHOTO | FILE | NMG

Summary​

  • The Ethiopia-Kenyan border stretches for over 830km, making the Moyale border post a significant trading point between the two countries.
  • The leaders committed to allocate more resources for infrastructure projects to ensure the seamless flow of people and cargo between their two countries.
ADVERTISEMENT


By ANTHONY KITIMO
More by this Author

Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed marked his two-day state visit to Kenya last week with an inspection of the progress of the Lamu port construction, and the launch of the Moyale one-stop border post on Wednesday along with Kenyan President Uhuru Kenyatta.

The leaders committed to boosting trade between the two countries by reducing trade barriers and jointly funding projects, and to allocate more resources for infrastructure projects to ensure the seamless flow of people and cargo between their two countries.

The Ethiopia-Kenyan border stretches for over 830km, making the Moyale border post a significant trading point between the two countries.

β€œWith the completion of Moyale border post, the two countries have demonstrated the political goodwill to address the challenges and impediments facing businesses from both sides. In addition to facilitating trade between the two countries, the border post will also enhance mutual interactions among our people and create synergy and unity of purpose,” said President Kenyatta.

Mr Abiy said the new Moyale one-stop border post will help expedite movement of goods and people across the Kenya-Ethiopia border, which will in turn boost tourism.

In Lamu, the two leaders stressed the need to prioritise funding of the multi-billion Lamu Port-South Sudan Ethiopia Transport (Lapsset) corridor projects which will play a key role in boosting intra-trade between the two countries and other East African states.

ADVERTISEMENT

Nearing completion​

They also promised to allocate resources to ensure Lapsset projects that are still pending are completed before the commissioning of the Lamu Port.

The first berth and container terminal at the port are complete. Berth 2 and 3 both at 86 per cent completion. The Lamu-Garsen highway is now at 75 per cent completion, and the port, will be launched once most of the road networks are complete, is set to be commissioned in October next year.

The leaders were accompanied by Kenya’s former prime minister Raila Odinga, who is also the AU High Representative for Infrastructure Development.

β€œThe government has committed resources and time to ensure the road network is completed to attract more investors. Already Lamu-Garsen road is almost complete, Lamu-Garissa road has started, while the Lamu-Isiolo road tender has been advertised,” said President Kenyatta. β€œWe have also inaugurated the 500km Hawassa-Hagere Mariam-Moyale Road, which is part of the Trans African Highway and a key segment of Mombasa-Nairobi-Addis Ababa transport corridor, and it will help in boosting trade between the two countries.”


β€œThe Ethiopian government has committed to ensure Kenya is supplied with adequate electricity from Ethiopia as a means for us to commit to the project. Apart from that, we are also doing our road networks to ensure there is a seamless connectivity to boost intra-trade in the region,” said Mr Abiy.
 
naona imepenya sehemu stahiki 🀣🀣🀣
 
njoo uwafute machozi wenzio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Another empty rhetoric as usual πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., hadithi za vijiweni nimezizoea kutoka kwako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., sawa nimesikiza hadithi as I sip kahawa tungu na njugu karanga, na relax uki ni entertain πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…