Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wao wanajenga expressway kwaajili ya watu matajiri sisi tunajenga kwaajili ya common people. Ifikapo 2050 Nairobi itakua on a traffic deadlock due to poor choices in infrastructure investment.
 
Wao wanajenga expressway kwaajili ya watu matajiri sisi tunajenga kwaajili ya common people. Ifikapo 2050 Nairobi itakua on a traffic deadlock due to poor choices in infrastructure investment.
Pia transport systems zetu zitakuwa environmentally friendly. Mabasi ya BRT yatatumia gesi asilia na treni za mwendokasi zitatumia umeme, sio kama za Nairobi zinazotumia diesel. Mass transit systems ziliimarishwa, that is idadi ya mabasi kuongwezwa na metro system kuwa operational, the need to use cars will be reduced na hivyo vehicle exhaust emissions zitapungua. As a result, air quality ya Dar itakuwa Poa.
 
Hii ramani Ndio ya tanroad au wewe umeitoa wapi kama unayo masterplan nzima ebu tutumie tuicheki
 
azamtv in zimbabwe [emoji1269]
Hii Safi sana. Na Bodi ya Utalii waliona mbali kuingia mkataba na Azam.

Azam wajitahidi kupenya pia upande wa Kaskazini na Magharibi mwa Afrika. Hapo tutakuwa tumeiweka Tanzania katika ramani ya Afrika. Na kujitahidi kuweka maudhui ya maana tu ya Kiafrika zaidi na kuitambulisha Tanzania, Mila, Tamaduni na Desturi zake Kwa nchi za Afrika. Haswa Lugha yetu adhimu ya Kiswahili.

Hili hata Serikali inaweza kumpigia chapuo mzee Bhakresa kufanikisha hili. Maana ni kazi kubwa inafanywa kupitia vyombo vya Habari. Mifano ipo kibao Kwa vyombo vya Habari vinavyochangia katika kuleta ushawishi katika maswala kadhaa.
 
Huwa nawaambia hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa, hawataki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Well said mkuu👍
 
Wakunya oneni akili kubwa za Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…