Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mradi ulikua tayari kwenye preliminary stages, Magufuli angekua leo na ujenzi ungekua tayari umeanza

 
angalieni hata followers kuna kitu mutagundua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani mkenya amfundishe mtanzania juu ya scania hehe
 

ongea Mkunya nairobae ulikuwa ulisema nn jana?
Nilikuambia US is the number one source for tourists visiting Kenya. Over 130k US tourists visited Kenya in 2021. Nilikuambia ulete same data ya bongo ukashindwa ju utapata aibu kubwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
yani kisumu ifananishwe na arusha acheni tu yesu ashuke aje kufungua macho ya wakenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kisumu ninayoijua mm eti Teargas
Jamaa kanaogopa🀣🀣🀣 nimekuambia tuanze battle lakini wewe kazi yako ni maneno tu.
 
Jamaa kanaogopa🀣🀣🀣 nimekuambia tuanze battle lakini wewe kazi yako ni maneno tu.
mm niogope kisumu au ww kisumu utanidanganya nn hebu niambie 🀣🀣🀣
 
Sasa unapingana hadi na Scania wenyewe? Wewe kweli mwehu. Huoni hata hiyo ni Twitter handle ya Scania? Unafaidika nini kwa kuwa mbishi kwa kila jambo?
nimechekaa sana leo nioneshe assembly plant ya scania nje ya south africa kwa africa hii nifunge acc sasa hvi 🀣🀣🀣🀣 munataka sifa za kipuuzi kwa kitu hamuna
 
Sasa unapingana hadi na Scania wenyewe? Wewe kweli mwehu. Huoni hata hiyo ni Twitter handle ya Scania? Unafaidika nini kwa kuwa mbishi kwa kila jambo?
na ukipata nje ya south africa unitag🀣🀣
 
Scania lories are being assembled AVA Mombasa, lorries zinakuja Tz pia zinakuwa assembled uko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…