Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


We unajua AVA Mombasa kweli? The biggest vehicle manufacturer in Eastern and Central Africa region.
 
For every Volkswagen you will see in Tanzania there is an 80% probability that it was produced in Kenya

View attachment 2100768
LOL kwa mwaka mnaunganisha hivyo vidude 104 tu means kwa mwezi ni gari 8 tu, sasa huku zitafika lini? 🤣🤣🤣🤣🤣

 
nimechekaa sana leo nioneshe assembly plant ya scania nje ya south africa kwa africa hii nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣 munataka sifa za kipuuzi kwa kitu hamuna


😂😂😂😂 Anafikiri gari ni square pipes na flatbars wanazotumia kutengenezea yale masufuria yao 😁😁😁
Mtatoa povu ila bado Scania zenu zitatoka Mombasa
 
Nyinyi mmeunganisha ngapi dunia ikaona?
 
mm nakwambia assembly plant ya scania africa iko south africa hakuna nchi nyingine na haitokei kwa sas 😂😂😂😂😂
Kenya sahii inafanya hadi assembly ya Mercedes buses. Kenya ndio supplier wa Scania Bus and Trucks in this region ju zinakua assembled Kenya.
 
Hebu taja hizo parts za gari mnazotengeneza hapo Kenya mana kama nmekusikia mnaingiza tu baadhi ya parts ambazo hazipatikani Kenya!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania hakuna vehicle manufacturers. 😂😂😂 Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.
They don`t have and that`s why they are always bitter tukianza discussion ya vehicle assembly plants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…