Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka i beg to differ mzee...elimu inasaidia sana kwenye development..unataka tuongeze Poverty rate kisa tu hujawaruhusu kurudi shule.....ninachotaka wawe na special school zao wasiwe mixed na wengne ambao sio wazazi .
Sidhani kama watu wanapinga wazazi kurudi shule, nilichoelewa mm wengi wanashauri iwekwe system itakayofavor both sides yaan wazazi na fresh students
Inakaa awkward maana unaingiaje na mtoto class afu utegemee madogo wamwelewe mwl.
Aya sare hujavaa wengne wamevaa daaaa
Warudi shule sawa ila serikali iangalie system nzur asee
 
Mungu yupo ana mawazo ya kivivu na hajataka kujifunza kitu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
At least one of you has a brain. To foreigners who want to see animals it's heaven but to the local burukenges it's a hellhole
 
Huyu mama katoa boko kuliko la haram [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimecheka sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji117][emoji2781][emoji706]
 
Wamepokea maagizo ya kutokutaja jina la Nyerere wala Magufuli ,wasaliti wa hii nchi ni team msoga kwao uzalendo ni maviii
Wewe ondoa ujinga wako bhana.Umekua mtu wa ajabu.Hujui Hilo daraja aliyeleta na kubuniwa wakati wa Rais kikwete,kila kitu kilikua kimekaa sawa March 2015,Nikikumbushe tu utaratibu wa serikali linapotajwa neno "Rais"Hutajwa kiti kitukufu kinachokaliwa na mtu aliyeshika madaraka ya Rais.Kwa uninga wako unadhani dua zako zitaondoa sifa za kiti kitukufu cha Rais.My brother hata ungepopoma usiku kucha haibadilishi kitu heshimu kiti cha Rais Kwanza bila kujali aliyekalia unampenda au la
 
Bomu la Hiroshima [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2103262

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchana nilikua location napiga vyombo na tayari nilikua High, nilivyoliona nilishtuka sana[emoji1787].
 
Mipango mingi kabla ya Magufuli ilikuwa inaishia kwenye makaratasi tu, na hata pale ilipotimizwa ilikuwa low quality, Kikwete alifaulu sehemu moja tu nayo ni BRT sehemu nyingi alifeli vby au hata alipofaulu ilikuwa ni below average but nampa respect japo alizingua sn na hatoshi kwenye daraja la Nyerere na Magufuli ni dhambi kumuweka hapo hata yeye mwenyewe anajua.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchana nilikua location napiga vyombo na tayari nilikua High, nilivyoliona nilishtuka sana[emoji1787].
Hii ni own goal wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hayo madude ya juu mm naona kama nimakava au mm sielewi๐Ÿค”
 
Tulia wewe sukuma gang tuweke mambo sawa,mlijua kula na kuharibu ila kutengeneza hamjui kitu .

Shirika lipi la serikali limezorota ilhali Dart tuu hapo tumepata,TRA faida,Watalii wanamiminika,miradi kila Kona pesa ipo ..

Propaganda za kijinga tulishazika Chato





















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ