Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Hii kampuni ya ZTT imefilisika na hivi vichwa zilikuwa vinauzwa 15,000β¬!Vichwa vya trial run between Dar and Moro lakini vimenishtua kidogo upigaji mkubwa utakuwa umefanyika hapa ndio maana TRC walikuwa wanakwepa sana kuweka wazi hili.View attachment 2115344View attachment 2115345View attachment 2115346View attachment 2115347View attachment 2115348
ila upigaji umefanyika chini ya mwendazake huu!Hata kama bei ni cheap labda why procure used equipment for trial runs? Kwani sheria ya manunuzi inasemaje kuhusu procurement of used equipment.
Hivi vichwa vimenunuliwa September 2021 from Austria ila kabla ya hapo walishasema wameorder electric locomotives from Germany maybe hizo za Germany ni nyingine hivi ni vya trial lets wait and see.haya kumekucha.. vitu vibaya lawama zote kwa Magu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vitu vizur sifa kwa Mama
unakumbuka hii? niliamua kukaa kimya mana nilijua βukimya na mudaβ sikuzote zitaleta majibu
View attachment 2115349
bila shaka ndo hiv vichwa viwili ambayo mkataba wake haujawekwa ulisainiwa lini, wap n akina nan[emoji2371][emoji52] tusubir April..
zikiwa tofauti njoeni mnipige mawe [emoji1787][emoji23].. napatikana masaki sandvik st au regent st mikochen[emoji23]
View attachment 2115336
View attachment 2115337
View attachment 2115338
ila upigaji umefanyika chini ya mwendazake huu!
Kwenye pitapita zangu nikakutana na hii.
''After the bankruptcy of Zeller Transport Technik, four locomotives were sold to Tanzania Railways Limited and shipped to Tanzania in september 2021.''
Rejea lini viliagizwa!haya kumekucha.. vitu vibaya lawama zote kwa Magu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vitu vizur sifa kwa Mama
unakumbuka hii? ipo kwenye thread yako Cost & Comparison.. niliamua kukaa kimya mana nilijua βukimya na mudaβ sikuzote zitaleta majibu
View attachment 2115349
Wao wamenunua sh ngapi na gharama ya refurbishment ni sh ngapi we need to know that na sheria yetu ya manunuzi inasemaje kuhusu used equipment. Kodi yangu haiwezi kwenda kizembe hivi.Hii kampuni ya ZTT imefilisika na hivi vichwa zilikuwa vinauzwa 15,000β¬!
Rejea lini viliagizwa !
ebu lete link[emoji23][emoji23].. mim hii kitu nilijua mapema.. mkataba hatujawah kuuona au kutangazwa.. nilipokuwa nahoji watu walisema nina muhemuko
Ila kama ni hivyo vya Tar 17 vinaingia vichwa vya Yapi Merkezi! Tusije kulaumu TRC bure!
BTW mkumbuke JPM aliondoka wizara ya Ujenzi na kashfa ya boti mbovu kutoka Bangladesh!
ΓBB Class 1014 - Wikiwand
The ΓBB Class 1014 and 1114 were four-axle multi system electric universal locomotives, constructed between 1993 and 1994. The locomotives were designed to oper...www.wikiwand.com
Niliwauliza TRC wakapiga kimya.ebu lete link[emoji23][emoji23].. mim hii kitu nilijua mapema.. mkataba hatujawah kuuona au kutangazwa.. nilipokuwa nahoji watu walisema nina muhemuko
Acha niwape maelezo ya maneno maana picha watakua hawajailewa vizur, underground kuna paki ya magari binafsi na pia uku kushoto kwa chini kunapaki kubwa ya mabasi zaidi ya izo mbili zinazoonekana kwenye picha, na kinginee iyo picha imepigwa kutokea waiting lounge π€
Alafu watu wanajitamba wanagdp kubwa ata Burundi wenyeww wenye gdp ndogo hawana izi aibu ndogondogo
Lakini pamoja na hayo yooote hivi vichwa bado ni modern in comparison to our swahibas they are set to run at 175km/hr, 4559HP [emoji16]hili suala, viongozi waliopo saiz madarakani, mfano Msigwa, Dr Abbas, MD Kadogosa, Waziri Prof Mbarawa wote wajiuzuru [emoji23] wamedanganya umma wanaleta sijui za ujeruman sijui za wap, kumbe hizi OBB
kwanza kwanin hawakuonyesha hata tukio la kusain mkataba.. watanzania tujifunze kuhoji! mikataba yote mingine tunaona events zao, kwann hili la hizi vichwa viwili hatujaviona
Hizi ulizo post ni 3 tier interchange?ona.. kisumu iko na five! sio moja. nakuru pia tatu.
atleast 5za kisumuππ½
nyamasaria interchange
View attachment 2115308View attachment 2115303
kondele interchange
View attachment 2115302View attachment 2115306
kicomi interchange
View attachment 2115314View attachment 2115304
ahero interchange u/c
mamboleo interchanger (kakamega rd)
View attachment 2115313
Kwahiyo zile za ujerumani ndo haziji au?bila shaka ndo hiv vichwa viwili ambayo mkataba wake haujawekwa ulisainiwa lini, wap n akina nan[emoji2371][emoji52] tusubir April..
zikiwa tofauti njoeni mnipige mawe [emoji1787][emoji23].. napatikana masaki sandvik st au regent st mikochen[emoji23]
View attachment 2115336
View attachment 2115337
View attachment 2115338