Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
👌 watu wanazalisha maua na chai ili kuwauzia wazungu ilhali wao wanakufaa njaa akili ya wapi hii ni kama sisi eti tuende mbeya tung'oe mpunga alafu tupandane maua si tutakufaa njaa bongo hapa😅Lete data Tanzania tunazalisha 7M tonnes za mahindi kwa mwaka, na tunatumia "almost 6M tonnes, ninyi mnazalisha 3M tonnes na mnatumia 4M tonnes.
Kumbuka Tanzania we consume what we produce, and produce what we consume, but stupid country do produce what they don't consume (Flowers), and consume what they don't produce(food), as the result of their stupidity, they beg Chinese for food donations [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unavyoona waafrika wengi walikuwa na chuki na Trump, Rais co wako anakuhusu nn? Ukiona hivyo kaugusa uchumi na usalama wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona unashabikia au kupinga uongozi wa nchi tofauti na nchi yako, ujue hiyo nchi lazima inakugusa kiuchumi, kiusalama na kijamii, kifupi hiyo nchi ni superpower kwako.
Tunawafungulia ghala pale Mombasa ndio watajua hawajui mana watatugemea kwa over 95% kwa chakula.Waulize Rwanda watakuambia kuhusu chakula ya Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Why Rwanda Loves Tanzanian Rice Despite High Cost
A woman working at her rice field in Bugarama marshlands in Rusizi district - the region producing more than others in Rwanda.A 25kg of rice from Tanzania costs up to Rwf 28,000 in Kigali, far mwww.chronicles.rw
Kumbe ndio maana mko na madini kila mahali na bado mnaomba msaada😅😅😅yani unafikiria kulima Mahindi ndio kufaulu!👌 watu wanazalisha maua na chai ili kuwauzia wazungu ilhali wao wanakufaa njaa akili ya wapi hii ni kama sisi eti tuende mbeya tung'oe mpunga alafu tupandane maua si tutakufaa njaa bongo hapa😅
Shida iko wapi wakulima wenu fukara wakifaidika kwa pesa zetu😅Tunawafungulia ghala pale Mombasa ndio watajua hawajui mana watatugemea kwa over 95% kwa chakula.
Sasa nyinyi kupewa chakula cha msaada Ndio mnaona ujanja huo 😅Kumbe ndio maana mko na madini kila mahali na bado mnaomba msaada😅😅😅yani unafikiria kulima Mahindi ndio kufaulu!
Toll fee ya Tanzania ni sawa na kulipa VAT, pesa yote inaingia serikalini, sio mifukoni mwa wachina[emoji23][emoji23][emoji23]
The first freedom of any living thing, is the freedom of feeding itself, it brings dignity and LibertyKumbe ndio maana mko na madini kila mahali na bado mnaomba msaada[emoji28][emoji28][emoji28]yani unafikiria kulima Mahindi ndio kufaulu!
Hii pesa aina impact kwenye maendeleo tangible...that whole money with no tangible project,
This only happens with visionless leaders.
tuko na wakimbizi wengi Sana toka Somalia ambao wanaitaji hicho chakula kila siku mbona tukatae ?Sasa nyinyi kupewa chakula cha msaada Ndio mnaona ujanja huo 😅
Shida ni pale mnapodhalilisha bara la Afrika kwa kwenda China kuomba chakula cha msaada wakati huku Tanzania hatuna nafasi ya kuhifadhi vyakula vya ziada.Shida iko wapi wakulima wenu fukara wakifaidika kwa pesa zetu[emoji28]
Miongoni mwa matumizi ya pesa za serikali yoyote ni kulipa mikopo yake, Sasa ninyi "road toll " anachukia Mchina, mikopo mtalipaje?[emoji23][emoji23][emoji23]Ile serikali imeenda kuomba mkopo ufaransa hama serikali gani unaongelea? wewe unafikiria hiyo mkopo italipwa na nani kama si hiyo pesa ya toll fee? Bongolala bana[emoji23]
The first freedom of any living thing, is the freedom of feeding itself, it brings dignity and Liberty
Kwani sisi uku Ndio hatuna wakimbizi kutoka Congo na Burundi acha kuendekeza ujinga mzee kwanza wengi wanaokufaa njaa sio wakimbizi kubali tuu ni ujinga juzi tuu hapa mliskia KFC annagiza viazi kutoka misri utafikiri uko timboroa hamna viazi jambo kama ilo haliwezi kufanyika bongo kamwetuko na wakimbizi wengi Sana toka Somalia ambao wanaitaji hicho chakula kila siku mbona tukatae ?
Sasa unafikiria Kenya ni fukara kama nyinyi😂😂😂Miongoni mwa matumizi ya pesa za serikali yoyote ni kulipa mikopo yake, Sasa ninyi "road toll " anachukia Mchina, mikopo mtalipaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna fukara anayeweza kulisha maskini?Shida iko wapi wakulima wenu fukara wakifaidika kwa pesa zetu[emoji28]
tuliachia magufuli ajifungie nayo lockdowni😅😅😅sasa sai ako wapi na hiyo Mahindi yakeShida ni pale mnapodhalilisha bara la Afrika kwa kwenda China kuomba chakula cha msaada wakati huku Tanzania hatuna nafasi ya kuhifadhi vyakula vya ziada.
Sisi tulashisha nchi za ng'ambo mostly na cash crops does it mean wao ni fukara kutuliko?Kuna fukara anayeweza kulisha maskini?
sasa chakula gani mko nayo apart from Mahindi na mihogo? Alafu si jiwe alisema nyinyi ni Donna cantreee vipi tena mnatembeza bakuli kila mahali kutafuta msaada[emoji28][emoji28][emoji28]