Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weee mafiii iyo sio suburbs tu, na part ya cbd...sio mbaya wako na arrangement nzuri...lakin ni Arusha iliyo changamkaa nothing else
Shida mnakuwanga kama maZOMBIE
Kuna suburb kali dar kama iyo!!!
Cheki East Legon vile Ni POSHHHHHH Class ya Kyuna or Rosslyn Nairobi.
 
Tayari analeta ukabila, yn aliposikia jamaa ni mjaluo tu basi nywele za tako zimemsimama
Hawa vjana wa Nyanza nawaelewa sana pia wanapenda sifa sana kulko ata pesa,yaani yupo radhi alale kwenye mabanda au ashinde njaa
Umeongea vyema sana,Mwanza imejengeka nje ya jiji,kwa mtu mgeni akifika mwanza akaona zile nyumba za Igogo,Sahara,Mabatini au Bugarika anafikiri mwanza ndiyo ipo hivyo lakini akienda maeneo kama vile bwiru,capri point,nyamhongolo,buswelu,nyasaka,isamilo au mkolani ndio atajua kwanini mwanza ni jiji la pili kwa nchi hii.

Note;Serikali ingefanya mpango ikawahamisha wakazi wa sahara na mabatini maana ni sehemu ambazo zipo karibu sana na city center halafu ikajenga ata appartment kama za buswelu au kule kisesa.
 
Okey
 
Ala! Kwani kuliendaji na rLeli la Umeme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa Ni wajinga they know NOTHING.
Wapi Dar kuna suburbs Kali hivi!
Ama Ni zile takataka shagalabalaga za masaki without uniformity!!!
ACCRA!!![emoji116]

Kua na adabu kidogo .video ni nzuri, heshimu masaki ni place poa ever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…