Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilidhani hii wakulungwa walisema ni concentration ya Private Wealth. Ndio maana hawana hata hela za mafuta kuendeshea mabasi kwa ajili ya Public ambao ni wengi pamoja na kulipa madereva. [emoji1787]
Unaweza kua na point,wanaweza kua na failure zao ila hela wametuzidi...tatizo watz humu ndani hawataki kusikia icho kitu
 
 
Yaani kuna muda lazima tufike wakati nchi hii tukubali ukweli tu.Viongozi wa nchi hii sijui uwa wanafanya nini serikalini? Ebu jiulize yaani mtu mpaka anafikia anajenga nyumba ambayo haitajiki kujengwa kwa maeneo ya mijini maafisa mipango mji uwa wapo wapi? Sasa kuwaondoa watu kama hao ni gharama kubwa sana.
Me nafikiri inahitajika tupate vijana wapya wenye damu ya kufanya kazi hasa idara ya mipango miji ili baada ya miaka 20 mbele tuwe na taifa lililojengwa na kupangwa kama nchi za Ulaya au Asia,tukijisahau tutakuwa na taifa la ovyo kama kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…