Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They have a lame government that can't do anything on its own all they know is misappropriation of government funds among the rulling bandits.
 
Hapo hata mwaka hajaumaliza vizuri
 
Katika watu ambao wanawapatia wakunya ukitoa alhaji joto la jiwe na mwenyekiti ichoboy01 basi anayefuatia ni chongchung a.k.a AK 47 (Avtomat Kalashnikov, a gas operated assault rifle)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawana akili hawa nyang'au achana nao

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Kuna Dogo nilimuwekea photo hizo mbili hakujua ni za wapi namwambia wapi pazuri akaniambia hiyo ya pili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], Daslamu nzuri...
Modern Airport
Modern BRT
Modern Football grounds
Best Sports Decorder n Studios
Best and Modern buildings
Best Sea bridges
Modern marine Transports
Modern Sgr railway n trains station
Biggest Food n drink products manufacturer in east africa etc[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…